Naomba kurogwa

Njoo pm nitumie majina yako halisi matatu na la mama yako ikishindikana siingii jf tena

Acha kusema hivyo hayajakukuta ya dunia
Chezea babu ww
Sa inakuaje huyajui afu uwe na uwezo wa kuroga!
Mi wakati najenga nyumba kuna mzee aliniambie aje aizindike nikamwambia huwa sina imani na mazindiko.
Mpaka leo hakuna kilichotokea.
 
Jina feki, hujulikani unaishi nyumba gani, picha feki, nguo zako kuzipata vigumu..sasa hapo utarogwa vipi?
 
Huku tanga nina jamaa yangu anaweza kuupoteza uume wako ukapotea, ikawa hamna kitu. Hata ukitafuta nyeti zako huzioni, mpaka uwepo uso kwa uso anakufanyia mambo.
-True story, ni rafiki yangu na namba zake za simu ninazo.
 
Kuanzia kesho amka asubuhi uanze kuwashuhudia watu wa nyumbani kwako kuhusu habari za Yesu Kristo itangaze habari Njema kwa kila unayekutana nae na uache dhambi uwe mtakatifu..... Ukishindwa kuyafanya haya kikamilifu ujue ulishalogwa mda mrefu hivyo haraka tafuta maombezi kwa watumishi wa Mungu na uanze kuukulia wokovu.
 
Hujawahi kuona yule mke kafumaniwa nyeti zao zikaganda mpaka walipokuja kubanduliwa na mganga?
-kazi ya wachawi ni nini?, chuma ulete hujawahi kusikia. muvi za nigeria za kichawi hujaona
 
Huku tanga nina jamaa yangu anaweza kuupoteza uume wako ukapotea, ikawa hamna kitu. Hata ukitafuta nyeti zako huzioni, mpaka uwepo uso kwa uso anakufanyia mambo.
-True story, ni rafiki yangu na namba zake za simu ninazo.
Mpe details zangu mkuu, mwambie anitoweshe kabisa kama anawesa au atoweshe kichwa changu kibakie kiwili wili.
 
nishatoa majina tayari kiongozi, kazi kwao. Nilitegemea hadi sasa niwe siandiki hapa nashangaa, uchawi haupo kwa kweli.
Mkuu usiseme hvy nimeshuhudia watu wakitupiwa majini wakihangaika na kutaabika

Omba yote ila usiombe utupiwe jini ,usichukulie masihara mkuu
 
Haya ni majina yako kamili au unetumia majina ya MTU mwingne.?


Naomba ulete mrejesho baada ya week moja
Mkuu naona una plain papers, tafadhali naomba karatasi sita nataka niandike maombi ya kazi.
 
Mkuu upo tayari kwa gharama zako, nikuconect na mtaalam..halafu ikishindikana nakurudiahia mimi?
-uchawi wa kuondolewa nyeti ya uume halafu inapotea haionekani???
Yaani nigharamie mwenyewe kurogwa?

Ushahidi zaidi kuwa uchawi haupo.
 
unaitwa nani ?unaish wapi au nitumie picha yako nikushughulikie faster
 
mi ni mtaalam hayo majin si yako na mama yako haitwi ester please usitujaribu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…