Tena tuache kabisa kutetea ujinga wa kiwango hiki.Halafu anajiita great thinker.Hopeless ever !Hajakosea kidogo, angekosea mojawapo angesamehewa lakini mara mbili ni wazi hajui kuhesabu hana tofauti na wale wanaoandika tangazo ukikojoa apa faini 50,0000/= ukitupa taka apa faini 50,0000/= Acha kabisa kutetea hawa ndani ya JF ya GT.