Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

Kwanza kabisa kwa sababu wewe ndiye uliyeleta uzi huu hivyo una uwezo wa kurekebisha uzi wako basi rekebisha 1usd ilikuwa sawa na 2110 na sasa ni 1usd ni sawa ka 2300.

Kwa kifupi hujakosea...

moja ya viashiria vikubwa vya uchumi kushuka ni kuporomoka kwa thamani ya pesa ya nchi yako dhidi ya us dollar.

Ni wazi serikali imekuwa ikificha mambo mengi sna hasa yahusuyo uchumi wa nchii hii yenye kila aina ya utajili.

Nadhani mh. mchumi anayemshauri anamshauri achukue pesa aweke kwenye miradi mikubwa mikubwa tu kama tunavyoona sasa hivi of which upande wa pili ina madhara makubwa kiuchumi kama tu miradi hiyo haitawekewa mikakati ya kuiendeleza pale yeye mda wake wa kuongoza utakapoisha.

Mfano. Jei key alikuwa na mradi mkubwa sana wa gesi..ni wazi hakuna asiyejua faida za gesi endapo ingeendelezwa kama ilivyopangwa...lakini kwa sasa hatusikii gesi tena bali tunasikia mradi mpya kabisa wa ufuaji wa umeme sasa tujiuilize after 8years mradi huu utakuwa hai?
Hujamjibu hoja yake.
 
Hajakosea kidogo, angekosea mojawapo angesamehewa lakini mara mbili ni wazi hajui kuhesabu hana tofauti na wale wanaoandika tangazo ukikojoa apa faini 50,0000/= ukitupa taka apa faini 50,0000/= Acha kabisa kutetea hawa ndani ya JF ya GT.
Acha ujinga usijioni mkamalifu sana,
 
Back
Top Bottom