Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

Kwanza kabisa kwa sababu wewe ndiye uliyeleta uzi huu hivyo una uwezo wa kurekebisha uzi wako basi rekebisha 1usd ilikuwa sawa na 2110 na sasa ni 1usd ni sawa ka 2300.

Kwa kifupi hujakosea...

moja ya viashiria vikubwa vya uchumi kushuka ni kuporomoka kwa thamani ya pesa ya nchi yako dhidi ya us dollar.

Ni wazi serikali imekuwa ikificha mambo mengi sna hasa yahusuyo uchumi wa nchii hii yenye kila aina ya utajili.

Nadhani mh. mchumi anayemshauri anamshauri achukue pesa aweke kwenye miradi mikubwa mikubwa tu kama tunavyoona sasa hivi of which upande wa pili ina madhara makubwa kiuchumi kama tu miradi hiyo haitawekewa mikakati ya kuiendeleza pale yeye mda wake wa kuongoza utakapoisha.

Mfano. Jei key alikuwa na mradi mkubwa sana wa gesi..ni wazi hakuna asiyejua faida za gesi endapo ingeendelezwa kama ilivyopangwa...lakini kwa sasa hatusikii gesi tena bali tunasikia mradi mpya kabisa wa ufuaji wa umeme sasa tujiuilize after 8years mradi huu utakuwa hai?
Pia umeulizwa JK alikuta uwiano gani katu ya Tsh na USD?
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
Mkuu umeandikaje kichwa Cha thread yako mbona Kama Mimi sijakuekewa au nipo gizani
 
Na Mkapa aliacha dollar moja tsh ngap?
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
 
Wewe uko gizani kabisa...... Ni ngumu hata kukusaidia. Niishie hapo!
Sasa si ndio wajibu wako wewe mjuaji kumsaidia? Sasa ugumu wa kutomsaidia unatoka wapi wakati wewe ni msomi wa uchumi. Mtoe gizani sasa ili tuweze kukutofautisha yeye na wewe vinginevyo mnaweza kuwa sawa au yeye akawa na nafuu kuliko wewe
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
Hiyo exchange rate hatujawahi fikia toka tupate Uhuru na hatuwezi kufikia huko In ten years to come labda itokee civil war
 
Katika comments zote nimoja tu ndiye aliye jaribu kumjibu mleta thread. Poor JF
Mleta thread alitakiwa asahihishe kama kuona kosa lakini msimamo wake ni huyo aliouandika, sijui utajibu nini kwani hali haikuwa kama anavyodai.
Muonee huruma yeye kwa kuwa memba asiye na vigezo vya GT.
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
Mkapa alimuachia JK shilling ikiwa kiasi gani dhidi ya dola?
Do you want to say this problem is not historical? How do we measure our success?
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
Sasa umeandika nini? 2100 vs 2300?
 
Kwanza kabisa kwa sababu wewe ndiye uliyeleta uzi huu hivyo una uwezo wa kurekebisha uzi wako basi rekebisha 1usd ilikuwa sawa na 2110 na sasa ni 1usd ni sawa ka 2300.

Kwa kifupi hujakosea...

moja ya viashiria vikubwa vya uchumi kushuka ni kuporomoka kwa thamani ya pesa ya nchi yako dhidi ya us dollar.

Ni wazi serikali imekuwa ikificha mambo mengi sna hasa yahusuyo uchumi wa nchii hii yenye kila aina ya utajili.

Nadhani mh. mchumi anayemshauri anamshauri achukue pesa aweke kwenye miradi mikubwa mikubwa tu kama tunavyoona sasa hivi of which upande wa pili ina madhara makubwa kiuchumi kama tu miradi hiyo haitawekewa mikakati ya kuiendeleza pale yeye mda wake wa kuongoza utakapoisha.

Mfano. Jei key alikuwa na mradi mkubwa sana wa gesi..ni wazi hakuna asiyejua faida za gesi endapo ingeendelezwa kama ilivyopangwa...lakini kwa sasa hatusikii gesi tena bali tunasikia mradi mpya kabisa wa ufuaji wa umeme sasa tujiuilize after 8years mradi huu utakuwa hai?
Jamani ukweli ni kwamba duniani kote kuna mporomoko wa uchumi kama hicho ndicho kigezo kwahivyo usipende kuleta siasa hapa. Ningeomba wachumi ndiyo watusaidie. Obama alipoondoka madarakani Pound Moja ya UK ilikua sawa na dola 1.2303 leo Trump pamoja na uchumi wake kwenda vizuri Pound 1 ni Dolla za marekani 1.2634. Pesa kuporomoka inachangiwa na mambo mengi sana. Sawa na stock zina fractuate hata kwa tangazo negative la rais linweza kutikisa uchumi.

Juzi juzi Trump aliongea tu kitu bila hata kuwa cha kweli kiliharibu na kimeendelea kuharibu uchumi wao wiki tatu sasa.

Hivyo tunavyojadili masuala kama haya ni bora tuwachie wataalamu kama wapo humu kuliko hizi comments ninazoiona. Na lengo la mtoa thread siyo kutaka kuelimishwa ni Siasa zaidi.
 
Wajinga wakubwa ni wale ambao hawajui cheo ni dhamana! Na duniani ujinga mkubwa sana ni kudhani maendeleo ni vitu visivyohusiana na watu.

Ujinga mwingine ni kuamini kiongozi kila wakati yupo sahihi kwa kila jambo alitendalo na wanaompinga wanapinga maendeleo. Wajinga wanaoabudu viongozi mara nyingi hutamani viongozi wanaowaabudu wawe madarakani milele, lakini Kifo kwa kweli ni "mwanaharamu".

Utafiti kutokana na viongozi wa zamani umeonesha kwamba Madikteta wengi huwa na tabia za woga na ni watu wepesi sana kudhani wasiokubaliana nao ni watu wanostahili kufutiliwa mbali kwenye uso wa dunia. Lakini ujinga mkubwa ambao haujapatiwa jibu mpaka sasa ni kwa nini kwenye zama za madikteta huwa kunakuwa na watu wanaowashabikia?
Hivi haya majibizano yenu ya kisiasa ynamsaidia nini mleta Thread? Kawaomba mmsaidie ahajasema mkashifiane kama hamjui si bora mkae kimya?
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe

Burudika na Mao Santiago Chuchu Yusuf na Omary Mkali. Burudika na gitaa ya Giovan

naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe

Hapa chini ni msaada kwako achana na vibwagizo vya wana CCM na na UKAWA watu wa kusifu na kuitana makamanda.
Hizi ni sababu za wataalamu wa fedha

Why Do Currencies Fluctuate?
These days, some currency rates are jumping to all-time highs while others plunge to record lows. Exchange rates are constantly fluctuating, but what, exactly, causes a currency's value to rise and fall? Simply put, currencies fluctuate based on supply and demand.
Most of the world's currencies are bought and sold based on flexible exchange rates, meaning their prices fluctuate based on the supply and demand in the foreign exchange market. A high demand for a currency or a shortage in its supply will cause an increase in price. A currency's supply and demand are tied to a number of intertwined factors including the country's monetary policy, the rate of inflation, and political and economic conditions.

Monetary Policy
One way a country may stimulate its economy is through its monetary policy. Many central banks attempt to control the demand for currency by increasing or decreasing the money supply and/or benchmark interest rates.
“With a low interest rate, people and businesses are more willing and able to borrow money”​
The money supply is the amount of a currency in circulation. As a country's money supply increases and the currency becomes more available, the price of borrowing the currency goes down. The interest rate is the price at which money can be borrowed. With a low interest rate, people and businesses are more willing and able to borrow money. As they continually spend this borrowed money, the economy grows. However, if there is too much money in the economy and the supply of goods and services does not increase accordingly, prices may begin to inflate.

Rate of Inflation
Another variable that heavily influences the value of a currency is the inflation rate. The inflation rate is the rate at which the general price of goods and services are increasing. While a small amount of inflation indicates a healthy economy, too much of an increase can cause economic instability, which may ultimately lead to the currency's depreciation.
A country's inflation rate and interest rates heavily influence its economy. If the inflation rate gets too high, the central bank may counteract the problem by raising the interest rate. This encourages people to stop spending and instead save their money. It also stimulates foreign investment and increases the amount of capital entering the marketplace, which leads to an increased demand for currency. Therefore, an increase in a country's interest rate leads to an appreciation of its currency. Similarly, a decrease in an interest rate causes depreciation of the currency.

Political and Economic Conditions
The economic and political conditions of a country can also cause a currency's value to fluctuate. While investors enjoy high interest rates, they also value the predictability of an investment. This is why currencies from politically stable and economically sound countries generally have higher demand, which, in turn, leads to higher exchange rates.
Markets continually monitor the current and expected future economic conditions of countries. In addition to money supply changes, interest rates, and inflation rates, other key economic indicators include gross domestic product, unemployment rate, housing starts, and trade balance (a country's total exports less its total imports). If these indicators show a strong and growing economy, its currency will tend to appreciate as demand increases.
Similarly, strong political conditions impact currency values positively. If a country is in the midst of political unrest or global tensions, the currency becomes less attractive and demand falls. On the other hand, if a market sees the introduction of a new government that suggests stability or strong future economic growth, a currency may appreciate as people buy it based on the good news.

Conclusion
There is no single indicator that explains exactly why a currency has fluctuated or predicts with certainty what its price will do. Instead, many factors related to demand and supply affect currency values. What has been shown is that more knowledge and understanding of market conditions and their implications for currency fluctuations leads to more accurate predictions.
 
What makes one currency higher than another?

Answer: Generally speaking, when one country's currency is worth more than that of another, it does not necessarily indicate a stronger economy. ... Supply and demand, inflation and other economic factors will cause changes to a currency's relative worth, and it is these changes that ultimately indicate value
 
Speaking of stability, that is probably what governments seek for their currencies, more so than strength. A strong currency makes a country's exports more expensive, hurting that nation's trade competitiveness. On the other hand, a weak currency makes imports more expensive, boosting domestic inflation
 
Back
Top Bottom