Naomba kupewa ufafanuzi ,Raisi mstaafu kikwete aliacha shilingi ikiwa 22100/=na sasa ni shilingi 23000/=kwa usd dollar

Hajakosea kidogo, angekosea mojawapo angesamehewa lakini mara mbili ni wazi hajui kuhesabu hana tofauti na wale wanaoandika tangazo ukikojoa apa faini 50,0000/= ukitupa taka apa faini 50,0000/= Acha kabisa kutetea hawa ndani ya JF ya GT.
Tena tuache kabisa kutetea ujinga wa kiwango hiki.Halafu anajiita great thinker.Hopeless ever !
 
Point yako ni yakuwaeleza watoto wa chekechea.Kwani nyerere aliacha ukiwa shilingi ngapi?Obama aliacha dollar ikiwa sawa na tz sh.ngapi?
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
Jk mwwnyewe alikuta dola ni 1400 akaacha 2100 mbona hukusema.
Mwinyi aliacha dola ni 600 akaacha 1000
 
Mkuu mtoa mada jaribu kutulia wakati mwingine unapotaka kuwasilisha vitu sensitive.
 
samahani,jamani nimekosea kuandika shilingi badala ya kuandika 2100/=na 2300/= nimeshindwa ku -kusahihisha .ila itakuwa nimeeleweka jamani
Anza na Mwl. Nyerere aliacha ngapi? Mzee Mwinyi aliacha ngapi? na Makapa aliacha ngapi ndio uje hapa tuthaminishe.
 
Ili comparison ikae vizuri tuweke hivi KIKWWETE aliikuta.......... na ameiacha 2210
JPM ameikuta. 2210 ameiacha.......
 
naomba kujua kuanguka kwa shilingi na ukuaji wa uchumi wetu kuna mahusiano gani na ukuaji wa uchumi .mimi najua shilingi ikianguka na uchumi unakuwa umeanguka? je usahihi wake uko wapi kwa wale wataalamu wa uchumi tusaidieni tuelewe
Toa uchafu huu umeandika usichokijua
 
Duh!! Kwa hali hii .. Kidogo inatia huzuni . katika comment za watu wote hakuna alieonyesha moyo wa kumsaidia ndugu yetu .. Wengi wameshikilia kukosea tuu... Kwa hali hii ndio nagundua Gape linalo wekwa baina ya anae jua na asiejua
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom