Naomba kupata ushauri watu wanaojua

balozi tz

Member
Aug 5, 2015
57
8
Salamu iwe kwenu ndugu
Naomba kuzwa tu kwa wale ambao wanajua eneo zuri tanga la kulima mihogo ndugu zangu
Sana eneo la Tanga Jipe anayejua anijuze tafadhali

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom