Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
IMG-20250802-WA0015.jpg
IMG-20250802-WA0014.jpg


IMG-20250802-WA0016.jpg


IMG-20250802-WA0021.jpg

IMG-20250802-WA0022.jpg


IMG-20250802-WA0020.jpg


IMG-20250802-WA0019.jpg


Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile
FB_IMG_1754131105896.jpg
FB_IMG_1754131094473.jpg
FB_IMG_1754131234271.jpg

FB_IMG_1754131226685.jpg

FB_IMG_1754133937484.jpg


No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
Tatizo si dizaina bali uchafu wetu watanzania. Cheki hapo hata kupanga tu viti ni shida. Njoo nje sasa hata kupanda tu maua tatizo. Ukija nje ya ukuta kuanzia Uhuru H hadi pale Disp/HSP ya Chamwino na kuzunguka ukuta wote kumejaa vibanda vya wananzengo
 
Back
Top Bottom