Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,498
- 14,057
Tayari ushajulikana Sasa..Kuna muda nashindwa kukuelewa yaniAisee🤣, kwamba jf ndo pumziko lake? Walimwengu bwanaa hawakosi kusema
Bora umemuuliza mana amenishangaza.Mgeni unahitaji watu PM , hiyo confidence unaitoa wapi ?
Bhaas nyani ni mpya ila msitu ule ule
Pole Shemela nimekuchosha kumbe mtu mwenyewe hata si mgeni ni mwenyeji aliyekuja na koti jipya.Ngoja nimcheki shemela.
Mie niko poa kabisa shemela, mie sijajua hata kuwa mvaa koti jipya.Pole Shemela nimekuchosha kumbe mtu mwenyewe hata si mgeni ni mwenyeji aliyekuja na koti jipya.
I hope uko mzima pia.
Oooh! Ni jambo jema kama uko poa shemela.Mie niko poa kabisa shemela, mie sijajua hata kuwa mvaa koti jipya.
Bila shaka shemela. VAR noma sana.Oooh! Ni jambo jema kama uko poa shemela.
Kuna wazee wa VAR humu wamemsanua.
Haya mie nipo shemela. Tukutane jumamosi.
😂😂😂😂Itakuwa
Mgeni kwanza hata neno PM haujui maana yake .Bora umemuuliza mana amenishangaza.
Kumfuata hiyo PM vipi tena mgeni mzima.