Karibu sana jukwaa la Jamii forums.
Hapa utakutana na viongozi wa jukwaa hili na wao ni watu wa kuwasijiliana na jamii kama kawaida.
Mkuu huku hakuna masikini hata mmoja,
Mfano:Mtu wa kwanza kucomment kwenye hii post yako ni Dr tena PHD holder na ni MLEVI SUGU,
Utakuwana na wachawi halisi humu tena juzijuzi kunammoja ametoka kugraduate ushirikina
Achilia mbali hao.Yupo jamaa ni CHIZI kabisaaaa,yeye muda wote anaanzisha nyuzi za kutaka mimama,atawakashfu viongozi wa Jamiiforums,ombaomba na mtia huruma mkubwa sana.
Mkuu,Niongeze kusema pia humu machoko ni kama wote.na mijimama iliyoshindikana.Kunalimama humu ni linalependa vijana hakuna mfano,Be care.
Walimbwende pia wapo,ingawa umakini wako unatakiwa usije ukashtuka upo under arrest.Hukumu ya watu wa humu ni
-KUUA
-KUFIRA
Usijichanganye.
Nimalizie kwa kusema kila jukwaa liko na michango yake neg kwa pos.ni wewe aumue kusuka au kunyoa.
Wapiga Puchu pia sijawasahau ila ukila nao pande,unaweza kumpata wife materials kabithaa
.
Zaidi ya zaidi pia nipende kukukaribisha sana sana sana.
Ingawa kwa sasa wengi wetu tupo busy na ma markbook.