naomba kujuzwa!

naomba kujuzwa!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
heri wanajamvi? naomba kujuzwa ni maeneo yepi ya kujidai ukiwa ndani ya bandari salama? nitakuwa huko ths w-end. . . .
plz yawe maeneo mapya hasa yaliyofunguliwa ndani ya mwaka.cos tangu mwaka uanze cjaja kuosha macho huko!
N.B. SIHITAJI KAMPANI TOKA KWA MWANA JAMVI. . . . asanteni!
 
Shostito mbona umemalizia kwa ukali hvo?
Au hutaki kukumbushiwa machungu?
Pole kama yalishakukuta.
 
Nimeshauriwa kwua nahitaji kukaa sehemu tulivu kwa muda bila bughudha yoyote kama siku mbili hivi! ndo maana sihitaji kampani yoyote mamito Madame B
 
Last edited by a moderator:
yani mi nmekuja mwanza afu we ndo unaondoka, mbona unanfanyia hivyo chalming wangu
 
yaani kukupa ofa ya kuja dar ndio umesha anza kuuliza viwanja!we njoo mambo yote nibonyeze mie kama botan ya Enter utapata majibu,cha msing uje umeiosha tu
 
oh sorry for u!

lakin charminglady unanitatiza,nikikunyima ofa unalalamika,nimekupa ofa ya kuja dar umeanzaa kunitibua unataka ile ofa ya kukupeleka usa na baadae uk ni delete?acha kuwa unanikwaza mapenzi hayaendi hivyo bwana!...mwaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
lakin charminglady unanitatiza,nikikunyima ofa unalalamika,nimekupa ofa ya kuja dar umeanzaa kunitibua unataka ile ofa ya kukupeleka usa na baadae uk ni delete?acha kuwa unanikwaza mapenzi hayaendi hivyo bwana!...mwaaaaa!

Hahaaaaa....... poleeeeeeeeeeeee.................. labda umenifananisha!!!!!!!!!
 
Kuna mtu anaweza kuniambia hii sredi inazungumzia nini? asanteni.
 
Kwamba kuna mfugo unaingia Tauni kutokea mkoani,, halafu unahitaji kujulishwa viwanja vya kula Bata. Halafu umeweka mkwara kwamba hauhitaji kampani (you know wara'm saying).. Kama uko Tauni Mkuu, Do ze nidful ukale kuku wa kienyeji.

All the Best from TANMO
 
Hommie Kaizer ngoja niisomepo afu ntakujulisha. Usisahau kesho ni.....Count them hours....damn!
 
Last edited by a moderator:
Kwamba kuna mfugo unaingia Tauni kutokea mkoani,, halafu unahitaji kujulishwa viwanja vya kula Bata. Halafu umeweka mkwara kwamba hauhitaji kampani (you know wara'm saying).. Kama uko Tauni Mkuu, Do ze nidful ukale kuku wa kienyeji.

All the Best from TANMO

Hahahahahaha! Mkuu TANMO we ni mnoma.... Khaa!
 
Last edited by a moderator:
Kwamba kuna mfugo unaingia Tauni kutokea mkoani,, halafu unahitaji kujulishwa viwanja vya kula Bata. Halafu umeweka mkwara kwamba hauhitaji kampani (you know wara'm saying).. Kama uko Tauni Mkuu, Do ze nidful ukale kuku wa kienyeji.

All the Best from TANMO

Na "mfugo" wenyewe hausemi unakula bata za aina gani....Hajui kuna gredi, za classic, masharobaro, Kajamba nani, mbwa kala mbwa na za gredi yangu umkhomboti in sam wea tandika taa nyekundu
 
Dar ni pilika pilika kila mtu hana time labda pm katavi ana ramani ya bongo.
 
Back
Top Bottom