Shukrani mkuu,Bila shaka umemaanisha zile solar powered light poles za barabarani zinazojiwasha giza likiingia na kujizima kunapokucha just automatically... Kuna uzi wake ushaletwaga humu japo siwezi kukujibu kimapana sababu mechanism yake inavyofanya kazi siku inote vizuri.Though I remember the one who gave clear explanation talked of diodes and transistors.Kwa msaada zaidi ningeomba uutafute,utakupa mwanga kabisa.
Umenikumbusha Electronics miaka hiyo.kwa ninavyojua mm inatumia photocell, hizo photocells hupunguza ukinzani wake kadiri mwanga unavyoongezeka, japo kuna sensor's nyingi ambazo zinaweza kufanya kazi hiyo
Hapo ni kama ulimaanisha hizo za mwanga ila za kuongozea magari ina njia nyingine tofauti, zenyewe zinakifaa ambacho inawekwa program kutoka kwenye compyuta, program hiyo ndo inayosema taa ipi iwake na kwa muda gani au katika hali ipi cause kuna taa ambazo zinaweza kucheki jam ipo upande upi, ingawa sijakutana nayo nje ya makaratasi
Zinatumia photodiode kama switch, ambapo kama giza litaingia, resistance inaongezeka na kuruhusu umeme uliohifadhiwa kutumika kwenda kuwasha taa and viceversaBila shaka umemaanisha zile solar powered light poles za barabarani zinazojiwasha giza likiingia na kujizima kunapokucha just automatically... Kuna uzi wake ushaletwaga humu japo siwezi kukujibu kimapana sababu mechanism yake inavyofanya kazi siku inote vizuri.Though I remember the one who gave clear explanation talked of diodes and transistors.Kwa msaada zaidi ningeomba uutafute,utakupa mwanga kabisa.
Hizo taa za barabarani kuna sehemu wamezi set kikuda sana Red/Yellow dakika 2,Green Sekunde 30.kwa ninavyojua mm inatumia photocell, hizo photocells hupunguza ukinzani wake kadiri mwanga unavyoongezeka, japo kuna sensor's nyingi ambazo zinaweza kufanya kazi hiyo...
Shukrani mkuu kwa majibu yakoTaa mpya za barabarani nyingi ni za solar na uwa zimewekewa sensor ya kutambua kiza.kwa iyo ukienda hata mchana ukifunika tu basi lazima iwake maana sensor itakuwa imetambua kiza.
Pia kuna njia ya pili ambayo wenzetu wazungu wanatumia sana.kuna kifaa kinaitwa(Light Timer), kazi yake kubwa inakuwezesha kuset muda ambapo taa itawaka na kuset muda ambapo taa itazima.kwa iyo unaweza kuset taa iwake kila inapofika saa 1 jion na kuzima saa 12 asubui
inawezekana zilisimikwa wakati mji haujakua sana so kitz si unajua kitu kinasahaulika kabisaHizo taa za barabarani kuna sehemu wamezi set kikuda sana Red/Yellow dakika 2,Green Sekunde 30.
Hapo foleni yake haifai kabisa.
mi ndo kwanza naingia uwanja wa electronics, japo nipo kielectrical zaidi, huku tunagusa gusaUmenikumbusha Electronics miaka hiyo.
kama sio mtu wa electronics ukianza kuzunvumzia diodes and tansistors utamchanganya maana inabidi uelezee diode ni nini na transistor ni na setup nzima inakuwaje ni somo ndefu sana, labda afafanue kam anatambua hivyo vitu basi tutampa setup nzima inakuwa theoreticallyBila shaka umemaanisha zile solar powered light poles za barabarani zinazojiwasha giza likiingia na kujizima kunapokucha just automatically...
Kuna uzi wake ushaletwaga humu japo siwezi kukujibu kimapana sababu mechanism yake inavyofanya kazi siku inote vizuri.
Though I remember the one who gave clear explanation talked of diodes and transistors. Kwa msaada zaidi ningeomba uutafute,utakupa mwanga kabisa.
kama sio mtu wa electronics ukianza kuzunvumzia diodes and tansistors utamchanganya maana inabidi uelezee diode ni nini na transistor ni na setup nzima inakuwaje ni somo ndefu sana, labda afafanue kam anatambua hivyo vitu basi tutampa setup nzima inakuwa theoretically
basi tuishie kwenye lugha ya kawaida tu kuwa kuna kifaa ambacho kinaongeza ukinzani dhidi ya umeme kadiri mwanga unavyofifia na hupunguza ukinzani wake kadiri mwanga unavyoongezeka, yaani wakati wa mwanga mkali yenyewe inapitisha umeme wakati wa giza inakuwa haipitishi umeme, so setup inafanywa kutumia sifa hiyoHayo madude siyaelewi kabisa
basi tuishie kwenye lugha ya kawaida tu kuwa kuna kifaa ambacho kinaongeza ukinzani dhidi ya umeme kadiri mwanga unavyofifia na hupunguza ukinzani wake kadiri mwanga unavyoongezeka, yaani wakati wa mwanga mkali yenyewe inapitisha umeme wakati wa giza inakuwa haipitishi umeme, so setup inafanywa kutumia sifa hiyo