Naomba kujuzwa wapi naweza pata drip irrigation pipe lines

Naomba kujuzwa wapi naweza pata drip irrigation pipe lines

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Habari wakuu,

Naomba kujua wapi naweza pata drip irrigation pipe lines kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya.

Zinauzwa kwa urefu gani na bei ipoje?

Ahsante
 
Wapigie Green Agriculture +255673000103 watakuhudumia
 
Kama upo Dar nenda mtaa wa india karibu na stesheni kuna maduka yanauza ukitembea utayaona
 
Kariakoo karibu na KAMATA, Mimi nimenunua juzi Drip Line 180,000 mita 1000 na spacing ya 20cm, Drip accessories kama connector,rubber,na end cap kila moja 300 ila wanauza kwa pact ya 50....nitafute ukiwa tayari
 
Nashkuru Sana CHIEF MGALULA nitakutafuta nikishaweka mambo sawa
 
Back
Top Bottom