INAUZWA Tunauza mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone Drip Irrigation system

mrkazi360

Member
Sep 19, 2023
8
6
Tunauza mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone Drip Irrigation system.


MIFUGO PLUS GROUP tuna pipes zenye uwezo wa kutoa maji kwa mfumo wa matone matone kwa ufanisi mkubwa zaid pia Drip Irrigation zetu zinauwezo wa kudumu kwa kipindi cha miaka 10 bila kuoza kama wewe ni mlimaji wa miche ya matunda mboga mboga miti au hata maua kivyovyote vile zote zinapatikana kwetu bei ya 300,000 kwa mita 1000.

Ukinunuwa kwetu tutakupa pamoja na Connector stopper ,Elbow na vitu vingine vyote pamoja na warrant ya muda mrefu.

Bei 300,000 kwa mita 1000.

●Call
0656 446 991
0747 608 608

Tupo dar es Salaam Tegeta kwa ndevu darajani opposite na The one hall njia ya kwenda jeshini.

TUNA MAWAKALA MIKOANI KOTE.
Screenshot_20231003-232918_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom