Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 1,041
- 2,462
Kuna hyo moja inaitwaKatika OMG yeye pekee ni mtu kaka
Till I die ni fire
Kuna hyo moja inaitwaKatika OMG yeye pekee ni mtu kaka
Wapi Stereo..??Songa
P the emcee
Nash emcee
One the incredible
Hawa watu Ni shida
Unamfananisha Conboi na kina Salmon swagz ndugu? hao no creatures tofauti walio kundi moja zile lugha zisikudanganye sikiliza content kwenye nyimbo zake mwenyewe ndo humtenganisha Rapper na Mc...Kumbuka Langa alikua na witness na Shaa kundi moja...Huy canabino na wezake wote OMG ni rappers na sio MC sawa tu na msafiri diof tu
MC wanafwata nguzo za hip-hop mtu Kam fid Q hv
Tell him CANABINO he is above average.Unamfananisha Conboi na kina Salmon swagz ndugu? hao no creatures tofauti walio kundi moja zile lugha zisikudanganye sikiliza content kwenye nyimbo zake mwenyewe ndo humtenganisha Rapper na Mc...Kumbuka Langa alikua na witness na Shaa kundi moja...
Kama mnamsifia hivi Cannabino ngoja namm niingie studioTell him CANABINO he is above average.
Sio sisi tu hadi FATJOE ali appreciateKama mnamsifia hivi Cannabino ngoja namm niingie studio
Nilishawahi angalia interview yake wakati anaachia "Above Average" alisema ye ni msanii wa rap wa kizazi hiki lakini anafanya rap ya kizazi kilichopita...Tell him CANABINO he is above average.