xz0r_africa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 316
- 315
๐๐๐๐๐๐๐ฅ
Noma sana mkuu,hivi ile moja ya kwanza ambayo wanatukanatukana inaitwaje?Hahahaha mkuu nilichokiandika hapa kimeelezewa hivyo hivyo na one kwenye hiyo movie
Wewe ndo ncha kali wa kilaaauuuziiiiiiiiKwa kuwa umeweka ROMA hapo, nimegundua hata mimi sijui maana ya michano.
Ila kwa tafsiri tu,
Rapper ni mbakaji, au nasema uongo ndugu zangu!!
Na hamorapper vipi vipi?Mc ni young killer tu hapo,, wengine wote marapper
Wewe ndo ncha kali wa kilaaauuuziiiiiiii
Ile ambayo walisalitiana mwishoni wakapigana risasi wao kwa wao?Noma sana mkuu,hivi ile moja ya kwanza ambayo wanatukanatukana inaitwaje?
Nimeuliza mkuuJikite kwenye misingi ya Hiphop Mkuu!
Nimeuliza mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]MC ni mshreheshaji, Rapper ni Ndala kwa jina jingine au kandambili
Swali juu ya swali ...ngoja nigoogle mkuuTaja nguzo 5 kwanza!
nick mbishiSonga
P the emcee
Nash emcee
One the incredible
Hawa watu Ni shida
Huy canabino na wezake wote OMG ni rappers na sio MC sawa tu na msafiri diof tuSaivi MC bongo ni CANNABINO tuView attachment 1641528
Katika OMG yeye pekee ni mtu kakaHuy canabino na wezake wote OMG ni rappers na sio MC sawa tu na msafiri diof tu
MC wanafwata nguzo za hip-hop mtu Kam fid Q hv
Ile ambayo one the incredible (zopa) ana'hustle kwenye muziki. Yupo fid q, songa nadhani hata wakazi yupo.Ile ambayo walisalitiana mwishoni wakapigana risasi wao kwa wao?
Kama ni hiyo nahisi itakua ni giza la mchana
3.B.BOY
Kuna mwana anaitwa One incredible ni mtu hatari Sana kwenye hip hop ila hasikilizwi sana
Huyu jamaa kweli ni above average...hapo Kazi ipo kweli...Nasikiliza "Till I die" daily lakini sichoki.Saivi MC bongo ni CANNABINO tuView attachment 1641528