Naomba kujuzwa tofauti ya MC na RAPPER

Naomba kujuzwa tofauti ya MC na RAPPER

Rapper huwa anaimba kuhusu mambo yake mfano kina marehem mangwea utaskia Ghetto langu, Huyu demu ni wa kwangu

Mc anaimba kuiwakilisha jamii yote
 
Kwakua sifahamu sana mambo ya HIPHOP huenda nikawa nimekosea kuuliza swali (Mtanisamehe)

Naomba kujuzwa mambo kadhaa kuhusiana na hiphop.

1. Tofauti ya MC na RAPPER
2. Wanasema hiphop ina nguzo 5, ni zipi?
3. Ila nasikia kuna kitu wanaita PUNCH LINE ni nini?

Binafsi katika michano namkubali sana wasanii hawa.

1. Youngkiller
2. Roma mkatoliki
3. Bando
4. Rapcha
5. Stamina
6. Fid q
7. Boshoo
8. Professor J
9. Maarifa
10. Chuma mbeya boi

Na wengine wengi.

Ila naomba kujuzwa juu ya hayo hapo juu walau kwa uchache.
Roma ni Rapper hana tofauti na wale jamaa wa FM ACADEMIA
 
Saivi MC bongo ni CANNABINO tu
iamconboi___B-1ZcOSDj3O___.jpeg
 
Mtu yoyote wa muziki wowote anaweza kuwa rapper ila mc u must lie on nguzobza hiphop... Msafiri diof alikuwa rapper ila sio mc... Mc lazima upite kwenye nguzo za hiphop
 
Unapoongelea elements za MC unatakiwa uelewe kwamba ni lazima awe na uwezo wa kuwakilisha jamii

MC anatakiwa awe na uwezo wa kuwakilisha, kuwasilisha na kufikisha taarifa kwa jamii. Na pia anaweza akawa na vinasaba vya upande wa biashara

Jambo ambalo wengi wanashindwa kuelewa ni kua MC ni rapper pia lakini utofauti kati ya MC na rapper ni kwamba rapper mara nyingi huongea kuhusu personal issues.

Mfano mzuri kama madee "nani kamwaga pombe yangu" au young killer "sina swaga" nk. Unaona kabisa kua hivyo ni vitu ambavyo vinamuhusu yeye

MC sasa tukichukulia mfano wa mtu kama Professa j na mtu kama fid q unaweza ukaaona ni watu wenye uwezo wa kuelezea mambo ya kukufundisha, haimuhusu yeye tu bali jamii kiujumla

MC huongea kama mtu wa tatu anapo delivery ujumbe wake. Mfano wa mzuri ni hii verse ya fid Q "ongea maisha ya kuunga unga hii shuhuli mi naiweza, hapa utaambulia ushauri tu ukihitaji msaada wa kifedha.../"
Umenifanya niikumbuke Siku za alosto one,
One huwa ana idea kali sana za movie ila production ndo huwa inazingua.
 
Umenifanya niikumbuke Siku za alosto one,
One huwa ana idea kali sana za movie ila production ndo huwa inazingua.
Hahahaha mkuu nilichokiandika hapa kimeelezewa hivyo hivyo na one kwenye hiyo movie
 
1.MC
2.CARTOON
3.B.BOY
4.GRAPHICS
5.DJ
sijazingatia mpangilio ila hzo ndo nguzo tano za hip hop..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom