Naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na nyumbani

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,351
1,282
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania.

Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na nyumbani
 
Kuongezea hapo juu 5ghz sio tu ina bandwidth kubwa bali ina latency ndogo inafaa unapotengeneza Network ya Nyumba kama kustream Games, movies etc baina ya vifaa na vifaa.

5ghz inafika hadi 1300mbps.
 
Back
Top Bottom