Naomba kujuzwa tafadhali!

Naomba kujuzwa tafadhali!

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
186
Hivi inakuaje simu inaitwa smartphone au inakuwa feature gani? Na vilevile naomba kuelezewa kuhusu adroid n nini?
 
Ndugu umekuwa mviv ata kugoogle tu?any way smartphone ni simu zilizo more advanced with high computing abilities, zinakuwa na high resolution screentouch na web browsers zinazokuwezesha kudisplay web page kama unatumia computer,
na android ni linux based operating system maalumu kwa hizo smartphone na tablet, unaweza kutembelea android.com kwa maelezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom