Naomba kujuzwa namna ya kupunguza ukubwa wa file

moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
3,366
4,970
Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kupunguza ukubwa wa file,nimeandaa CV yangu lakini umegoma kutuma maana jamaa wanataka file size isizidi mb 5,,
 
Hio cv yako ipo mfumo gani mpaka izidi mb5? Unaweza andika hata kurasa 100 isifike hizo mb, umeweka picha humo ndani?
 
Haya mashirika ya nje yako vizuri Sana ngoja nitest zali
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu japo members wameshakusaidia hapo juu, lakini mie nikudokeze kitu kimoja ujue CV ndefu sana huwa hazina dili kwenye maombi ya kazi sababu waombaji huwa ni wengi so mwajiri huwa hana muda wa kupekuwa cv yeye page nyingi! Hivyo unaweza kuta akaifunua na kuifunga cv yako akiwa hajaiona sifa anayoitaka sababu kufunua kwa haraka, huku page zikiwa ni mingi! Matokeo yake ukakosa chance!
 
Asante mkuu,nitajitahidi kupunguza vitu,
 
Back
Top Bottom