Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,699
- 3,280
Yani nurse na mfamasia wenye degree wapo tofauti, mfamasia kazidi 200+kKwanini Mkuu Unasema haziko fair
Ila ukiangalia nani anayefanya kazi sana jibu unalo.
Yani nurse na mfamasia wenye degree wapo tofauti, mfamasia kazidi 200+kKwanini Mkuu Unasema haziko fair
Yeah Uko sawa kabisa Nurse officer (NO) I think anachukua TGHS C kama AMO tu..Yani nurse na mfamasia wenye degree wapo tofauti, mfamasia kazidi 200+k
Ila ukiangalia nani anayefanya kazi sana jibu unalo.
Ila kwa hii serikali yetu hii sidhani, lakini nimeona kwenye muongozo[emoji116][emoji116][emoji116]Yeah Uko sawa kabisa Nurse officer (NO) I think anachukua TGHS C kama AMO tu..
Na BPHARM ( pharmacist) anachukua kama sikosei TGHS D..
Mkuu kwenye kupanga Hizi scale wanaangalia Mengi sana..
Kuna kigezo cha Kiuongozi pia yaani Organogram na pia kuna Miaka ya kusoma na Uzito wa kazi...
Pharmacy mkuu ukiwaangalia vizuri Walioko Hospitali hawafanyi kazi nyingi sana Kama walioko Viwandani so Do NO?
NO mkuu utakuwa shahidi angu vizuri kwamba hawafanyi kazi nyingi zaidi ya usimamizi tu...ila Wanaosota ni EN sana na hawa Wahudumu wa Afya MATT Na wakifuatiwa na ANO (RN)..
Japo kweli inabidi kuangalia upya Swala la hizi scale kwa mfano Biomedical Engeneer Hana kazi kubwa sana Kumzidi nurse kwa sababu vifaa haviaribiki Muda wote ila anachukua D
Yeah.Wanapanda na unatakiwa kupanda kama Unajaza vizuri oprass na huna majanga wala mabarua na sifa unazo unapanda...Ila kwa hii serikali yetu hii sidhani, lakini nimeona kwenye muongozo[emoji116][emoji116][emoji116]
Hivi hiyo ipo kweli kila baada ya miaka mitatu wanapanda daraja au kuna sifa zaidi
View attachment 2777542
Hivi posho pia zipoje?
Postgraduate hio ya ukufunzi inatolewa wapi?Duh Kaka Ajira Macho serikali utasugua Sana Wengi walioshika nafasi huko ni wakongwe na hawataki kuachia hivyo hawapeleki upungufu wa kada kwahyo ajira yake ni aghalabu....
Na Wengi naona Wanaopiga kazi ni ma Optician so kwa mimi nakushauri kama unaipenda hiyo kitu kasome halfu ukimaliza kachukue Post graduate dip.ya Ukufunzi i think ni mwaka mmoja Maybe uende kufundisha vyuo vya optician vya diploma huko Ajira zinaweza kuwepo hata za mkataba...
Nilisikia KCMC na Muhimbili wanatoa ila kwa uhakika ninaojua na ninaweza kuconfirma ni MMUST (masinde murilo)Kenya ,Makelele uganda, mbarari university na vyuo vingine kenya vinatoa piaPostgraduate hio ya ukufunzi inatolewa wapi?
Nazungumzia zile fixed, like House allowance, risk allowance, transport allowance or Meal allowance etc.Posho zimegawanyika pamoja Na per diem kwa Maafisa na Ngazi wasiokuwa maafisa..
Ngoja nikipata ule waraka wa posho wa hivu karibuni ntautuma
Hahahah 😀😀 hizo mzee huwa zipo kweny Standing order tu Huwezi kuzikuta kazini labda kama zilikuwepo zamani enzi za Mwinyi na mwanzoni mwa mkapa 🤣🤣🤣Nazungumzia zile fixed, like House allowance, risk allowance, transport allowance or Meal allowance etc.
je hao wanapewa au inategemea na sehemu maana kama wanatumia hizo scale means wapo serikali kuu hao.
so watu wanapokea tu Mshahara plain? duh huko hakufai aiseeHahahah 😀😀 hizo mzee huwa zipo kweny Standing order tu Huwezi kuzikuta kazini labda kama zilikuwepo zamani enzi za Mwinyi na mwanzoni mwa mkapa 🤣🤣🤣
Inategemea na sehemu kama ulivyospecify hapo...Nazungumzia zile fixed, like House allowance, risk allowance, transport allowance or Meal allowance etc.
je hao wanapewa au inategemea na sehemu maana kama wanatumia hizo scale means wapo serikali kuu hao.
aisee huo mshahara wao unakuta unaringana na wa dereva wa taasisi fulani fulani.. huko huko GVTInategemea na sehemu kama ulivyospecify hapo...
Maana Kwa Wizara ya Afya na Tamisemi Hakuna hichi kitu na Scale yao ni TGHS yaani Tanzania Government Health scale..
Posho zipo ila inategemea na ulipo maana kuna oncall allowance, uniform allowance ,extraduty allowance ,Posho zingne itategemea na Budget zipo za Nhif fill form allowance...Na inategemea kama Ukiwa MOI (Medical officer incharge) mbona mashavu kibao tuso watu wanapokea tu Mshahara plain? duh huko hakufai aisee
Yeah ni kweli kabisa mkuu me hayo unayosema nimeyashuhudia kabisaaisee huo mshahara wao unakuta unaringana na wa dereva wa taasisi fulani fulani.. huko huko GVT
SASA hizo sio fixed... yaan huna uhakika kila mwezi kama utazipata. na hata ukipata zina vary kulingana na mwezi husika. mie nazungumzia ambazo ni fixed yaan mwisho wa mwezi na uhakika wa posho mfano 800kPosho zipo ila inategemea na ulipo maana kuna oncall allowance, uniform allowance ,extraduty allowance ,Posho zingne itategemea na Budget zipo za Nhif fill form allowance...Na inategemea kama Ukiwa MOI (Medical officer incharge) mbona mashavu kibao tu
Inauma sana... na udaktari wako unazidiwa mshahara na dereva hahah..Yeah ni kweli kabisa mkuu me hayo unayosema nimeyashuhudia kabisa
Hakuna hizo posho kwa Afya maana Afya wanabudget ambayo ceiling yake inategemeana na mapato na Kuna vitu vingi sana sema kiethics vingine siwez kusema..SASA hizo sio fixed... yaan huna uhakika kila mwezi kama utazipata. na hata ukipata zina vary kulingana na mwezi husika. mie nazungumzia ambazo ni fixed yaan mwisho wa mwezi na uhakika wa posho mfano 800k
Acha tu na unapga kazi hatariInauma sana... na udaktari wako unazidiwa mshahara na dereva hahah..
Hizo posho utazikuta majeshini [emoji23] [emoji23]Hakuna hizo posho kwa Afya maana Afya wanabudget ambayo ceiling yake inategemeana na mapato na Kuna vitu vingi sana sema kiethics vingine siwez kusema..
Lakini itoshe kusema tu kwamba hakuna FIXED posho
Kupambana tu.. hakuna namna.Acha tu na unapga kazi hatari