Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Sawa chief shukran sana...
Vipi AMO wao wanalipwaje?
AMO yuko TGHS C sawa na Huyo opto. ulomuulizia MKUU
Mshahara ni mmoja...
IMG-20231010-WA0002.jpg
 
Vp na madaktari wa meno (DDS) nao wanalipwaje? cc DR Mambo AMP
Daktari Wa Meno DO/DDS Ni Sawa na Daktari wa Kawaida (MO/MD/MBBS)
So wanalipwa kwa Scale ya TGHS E1 Kwa wanaoanza inategemea na miaka ya kukaa kazni..
Na daraja la kupandishwa...

Ila Kwa Anaeanza kazi inacheza kwenye basic ya 1.5mil na usheenzi huko...

Nazungumzia mishahra mipya ya 2022..

IMG-20231010-WA0001.jpg
 
View attachment 2777339
Uko vizuri mkuu na ushukuliwe!
 
Hivi posho pia zipoje?
Daktari Wa Meno DO/DDS Ni Sawa na Daktari wa Kawaida (MO/MD/MBBS)
So wanalipwa kwa Scale ya TGHS E1 Kwa wanaoanza inategemea na miaka ya kukaa kazni..
Na daraja la kupandishwa...

Ila Kwa Anaeanza kazi inacheza kwenye basic ya 1.5mil na usheenzi huko...

Nazungumzia mishahra mipya ya 2022..

View attachment 2777339
 
Sina ajira...ila nimeona kama serikali upepo wake upo hukuu...
Duh Kaka Ajira Macho serikali utasugua Sana Wengi walioshika nafasi huko ni wakongwe na hawataki kuachia hivyo hawapeleki upungufu wa kada kwahyo ajira yake ni aghalabu....

Na Wengi naona Wanaopiga kazi ni ma Optician so kwa mimi nakushauri kama unaipenda hiyo kitu kasome halfu ukimaliza kachukue Post graduate dip.ya Ukufunzi i think ni mwaka mmoja Maybe uende kufundisha vyuo vya optician vya diploma huko Ajira zinaweza kuwepo hata za mkataba...
 
Daktari Wa Meno DO/DDS Ni Sawa na Daktari wa Kawaida (MO/MD/MBBS)
So wanalipwa kwa Scale ya TGHS E1 Kwa wanaoanza inategemea na miaka ya kukaa kazni..
Na daraja la kupandishwa...

Ila Kwa Anaeanza kazi inacheza kwenye basic ya 1.5mil na usheenzi huko...

Nazungumzia mishahra mipya ya 2022..

View attachment 2777339
Mkuu unaweza share hiyo PDF
 
I think nilishare au haionekani...Nijuzd kama haitaonekana...

Hii hapa ila kuhusu waraka wa mishahara sitau share ninao hardcopy tu..

Mkuu najaribu ila naona inazingua kushare ngoja nitafute njia mbadala
Imeonekana, lakini nilikuwa nataka whole document, ila kwavile ipo hard copy basi.

Lakini kuna umuhimu wa kuangalia hizi scale upya, haziko fair
 
Back
Top Bottom