Naomba kujuzwa kwa undani kuhusu Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Heshima zenu wakuu naomba mwenye kujua chuo cha mwlm nyerere kigambon kwa upande wa coz zingene mbali na ualimu naomba kujua kwamba wakoje kuhusu ufundishaji waoh e.g accounts,procurement, record, HR e.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kipo powaa kabisa kijana mm napiga hapo education but jua kabisa hostel za ndani hazitoshi na Offcumpuss ni ghari na pia zipo mbali NB: ushauri kama huna boom make sure home pako safi au ni uwe mkazi wa Dar Es salaam kama pili kama upo nje ya Dar Es salaam ucpakimbilie jina lisikutishe lakini karibu sana ujionee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom