Naomba kujuzwa kuhusu kupalilia Mahindi kwa kutumia viuatilifu

Mungu akubark sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya kwanza ni kupalilia/kutifua, ya pili ni kubwa kufyeka na tatu ni ndogo kufyeka. Hapo inakuja na motor 2 za kufyekea Kama unavyoziona #1 inatumia kisu (Kama feni) #2 inatumia waya. Ikiharibika spare wanazo
Hizi pia zinatumika sana kukata mpunga, za kiChina zipo na bei ni sawa na hizi Germany lkn za China ni mayai mayai sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaweza kutifua hata Kama shamba halijawahi kulimwa na tractor??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana haya madude ndo yameleta mnyauko(kansa ya migomba) kwa wilaya ya Ngara. Leo muhangaza anakosa ndizi ya kula analazimika kula ugali msosi ulioaminika kuwa chakula cha wenye maafa ya njaa na maskini
 
Kusemekana ndiyo nini ongea vitu vya kueleweka mahusiano Kati ya jembe na huo ugonjwa
Inasemekana haya madude ndo yameleta mnyauko(kansa ya migomba) kwa wilaya ya Ngara. Leo muhangaza anakosa ndizi ya kula analazimika kula ugali msosi ulioaminika kuwa chakula cha wenye maafa ya njaa na maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naomba kupata uzoefu wenu katika kilimo cha mahindi kwa wakulima hususan wenye hekal chahe,
Hivi kwa hali ya kawaida hekali moja inatakiwa kutoa gunia ngap za mahindi.

Coz mwaka juzi niliwahi kusimamia shamba la ndg angu, ambaye alilima hekali 4, kwa mbegu zile ''seedco" +mbolea ya samadi, lakin mwisho wa siku 2kapata gunia 16 hiv kamil na debe chache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…