lisbon eliado tibeliado
Member
- Jun 7, 2020
- 40
- 10
habari za wakati huu ndugu zangu,kama kichwa cha huu uzi hapo juu kinavyojieleza,tafadhali kwa wenye uwelewa wa hii kozi ya DIPLOMA IN TROPICAL ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION naomba kujuzwa kuhusu ajira zake baada ya kumaliza,kozi za kusoma degree,je inauhitaji kwenye soko la ajira kwa hali ya sasa ilivyo?! baada ya kumaliza hii diploma naweza kujiajiri kwa kutumia mafunzo niliyoyapata?! namengine kadhalika.nawasilisha.