Ukweli mdogo kuhusu alliance in motion global

dasenior

Senior Member
Jul 24, 2012
138
225
Ninafikiri hakuna asiyefahamu kuhusu ALLIANCE IN MOTION GLOBAL, Basi hizo picha hapo chini moja wapo inayomuonyesha Donald Trump akiwa ameshika hilo bango linaloonyesha Food Supplementary za Kampuni hiyo (Nilitumiwa na Rafiki anayejishughulisha ba biashara hiyo akiwa katika kunishawishi). Kwa bahati nzuri Mimi huwa ni mchunguzaji wa mambo mno hivyo nilipofuatilia kwa makini sana maswali kuhusu picha hiyo.

Donald Trump kutumia Food Supplementary za ALLIANCE IN MOTION GLOBAL eti kumaliza tatizo la COVID-19 nchini mwake.
Kwangu ilikuwa ngumu kuamini kama jinsi ambavyo mpaka leo tangu nihudhurie semina zao kushindwa kuamini porojo zao.

Ndipo matokeo ya uchunguzi wangu yalipozaa matunda mara baada ya kugundua kuwa picha hiyo ambayo inatumiwa na members of ALLIANCE ni *FAKE* inatumiwa ili kuwaaminisha watu kuhusu bidhaa zao na kampuni kwa ujumla.

Ninakushauri wewe ambaye umeshakutana na watu wa namna hii iwe ndugu yako, jamaa yako, ama jirani yako uwe makini sana pindi anapokupa ushawishi kuhusu hii kampuni ya ALLIANCE.

Hapo chini nimetuma na PDF document (10 BIG TRUTH ABOUT MLM) ambayo utaisoma utapata kujua mengi kuhusu ALLIANCE under MULTI LEVEL MARKETINGS

AHSANTENI.
Screenshot_20200615-074052_Firefox.jpeg
255679612464_status_5419ec61cda140fa80316df0ca59177a.jpeg
View attachment 10-Big-Truths.pdf
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
15,122
2,000
hahahahaha hawa wadwanzi nishawakataa siku mingi sana na maisha yao ya ku-fake
 
Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,312
1,500
Nilishawishiwa na Jamaa angu kujiunga na Kampuni Flani (Jina nimesahau ila wanasema wao ndio Q-net.com wameidhamini League ya Uingereza na club ya Man city, ) Picha linaanza salamu zao ni "Good Morning" bila kujali Muda gani wakimaanisha wapo dunia nzima so Unaweza unaweza ukapigiwa na Member kutoka nchi ambayo mmepishana majira so ukianza Goodmorning ndio utambulisho wao hata kama ni Usiku ..(Nilistuka kidogo) .. Ila Ukiudhuria Somo lao km una Akili za kushikiwa huchomoki ... Kwa mnao jua hawa watu ni watu kweli au watu na nusu? au nimepishana na gari la hela?
 
Prince Mhando

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
6,273
2,000
nilishawishiwa na Jamaa angu kujiunga na Kampuni Flani (Jina nimesahau ila wanasema wao ndio Q-net.com wameidhamini League ya Uingereza na club ya Man city, ) Picha linaanza salamu zao ni "Good Morning" bila kujali Muda gani wakimaanisha wapo dunia nzima so Unaweza unaweza ukapigiwa na Member kutoka nchi ambayo mmepishana majira so ukianza Goodmorning ndio utambulisho wao hata kama ni Usiku ..(Nilistuka kidogo) .. Ila Ukiudhuria Somo lao km una Akili za kushikiwa huchomoki ... Kwa mnao jua hawa watu ni watu kweli au watu na nusu? au nimepishana na gari la hela?
Walikupa nauli ya kurudia nyumbani...? kama jibu ni hapana wakimbie haraka sana....
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,624
2,000
Hahaha mm watanisikia kwenye bomba tu
Ninafikiri hakuna asiyefahamu kuhusu ALLIANCE IN MOTION GLOBAL, Basi hizo picha hapo chini moja wapo inayomuonyesha Donald Trump akiwa ameshika hilo bango linaloonyesha Food Supplementary za Kampuni hiyo (Nilitumiwa na Rafiki anayejishughulisha ba biashara hiyo akiwa katika kunishawishi). Kwa bahati nzuri Mimi huwa ni mchunguzaji wa mambo mno hivyo nilipofuatilia kwa makini sana maswali kuhusu picha hiyo.

Donald Trump kutumia Food Supplementary za ALLIANCE IN MOTION GLOBAL eti kumaliza tatizo la COVID-19 nchini mwake.
Kwangu ilikuwa ngumu kuamini kama jinsi ambavyo mpaka leo tangu nihudhurie semina zao kushindwa kuamini porojo zao.

Ndipo matokeo ya uchunguzi wangu yalipozaa matunda mara baada ya kugundua kuwa picha hiyo ambayo inatumiwa na members of ALLIANCE ni *FAKE* inatumiwa ili kuwaaminisha watu kuhusu bidhaa zao na kampuni kwa ujumla.

Ninakushauri wewe ambaye umeshakutana na watu wa namna hii iwe ndugu yako, jamaa yako, ama jirani yako uwe makini sana pindi anapokupa ushawishi kuhusu hii kampuni ya ALLIANCE.

Hapo chini nimetuma na PDF document (10 BIG TRUTH ABOUT MLM) ambayo utaisoma utapata kujua mengi kuhusu ALLIANCE under MULTI LEVEL MARKETINGS

AHSANTENI. View attachment 1499231 View attachment 1499233 View attachment 1499243
 
Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,312
1,500
walikupa nauli ya kurudia nyumbani...? kama jibu ni hapana wakimbie haraka sana....
MhMiaka miwili imepita Tangia nihudhurie kwenye Semina ya kwanza (Introduction) tulikubaliana siku ya kurudi semina ya pili(Nadhani ndio mchakato unaanza) Sikurudi tena nikawablock kila aliyepiga simu na kujitambulisha alikula block.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom