Tripo9 JF-Expert Member Sep 9, 2009 4,352 3,533 Dec 4, 2020 #1 Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
M Molembe JF-Expert Member Dec 25, 2012 9,821 11,527 Dec 4, 2020 #2 Nenda shuleni uwaombe barua ya usajili.
Tripo9 JF-Expert Member Sep 9, 2009 4,352 3,533 Dec 5, 2020 Thread starter #3 Molembe said: Nenda shuleni uwaombe barua ya usajili. Click to expand... Mkuu, siku hizi mambo si online
Molembe said: Nenda shuleni uwaombe barua ya usajili. Click to expand... Mkuu, siku hizi mambo si online
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,260 142,055 Dec 5, 2020 #4 Ingia kwenye site ya Necta... Cc: mahondaw