Naomba Kujumuika

Kabaya

Member
May 21, 2009
9
0
Hi All,

Ndugu zangu wana JF nachukua nafasi hii kujitambulisha na kuomba kukaribishwa katika mawazo na mijadala ya hapa na pale yaani kijamii, kisiasa n.k. Natanguliza shukuran zangu za dhati. All i all ninachoweza sema tuko pamoja katika kulijenga Taifa letu.

Regards,

Kabaya
 
Ndugu yetu Kabaya,
Karibu nyumbani tujenge Taifa letu, tupo pamoja sana.
We are here as a family, say anything you wish so long your are between the lines.
Take CARE, and again welcome to the family.

Back
Top Bottom