M Muite JF-Expert Member Sep 10, 2013 2,342 4,801 Nov 29, 2014 #1 Wana JF najua humu ndani wapo ambao ni wafanyakazi wa TANESCO. hebu tupeane taarifa ni muda gani umeme utakatwa ili tusione mjadala wa Escrow
Wana JF najua humu ndani wapo ambao ni wafanyakazi wa TANESCO. hebu tupeane taarifa ni muda gani umeme utakatwa ili tusione mjadala wa Escrow
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Nov 29, 2014 #2 Tayari wameshafanya yao. Umeme Tanga hakuna.
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,095 Nov 29, 2014 #3 hakuna haja ya kuuliza ukijua tu bunge linaanza saa ngapi na umeme ndo unakatwa
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,162 Nov 29, 2014 #7 Huku toka asubuhi Tanescrow hovyo kabisa
Miiku JF-Expert Member Oct 8, 2014 3,835 2,630 Nov 29, 2014 #8 Hovyo kabisa tanesco huku arusha toka asubuh
boyfriendy JF-Expert Member Sep 9, 2012 1,989 1,033 Nov 29, 2014 #9 Mafundi wapo kazini watawarudishia baada ya kazi kukamilika Attachments 1417268783585.jpg 10.6 KB · Views: 81