Naomba kujulishwa katizo la umeme saa ngapi

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Wana JF najua humu ndani wapo ambao ni wafanyakazi wa TANESCO. hebu tupeane taarifa ni muda gani umeme utakatwa ili tusione mjadala wa Escrow
 
hakuna haja ya kuuliza ukijua tu bunge linaanza saa ngapi na umeme ndo unakatwa
 
Mafundi wapo kazini watawarudishia baada ya kazi kukamilika
 

Attachments

  • 1417268783585.jpg
    1417268783585.jpg
    10.6 KB · Views: 81
Back
Top Bottom