Naomba kujua zaidi

Naomba kujua zaidi

wataka fanya kama professional course?
Yap yaan kuna jambo mwanya nimeupata sasa natakiwa kukimbizana na mda so natakiwa kusomea short course na sio miaka 3 iyo degree yake nitaichukua baadae ila kwasasa natakiwa kusomea short course ndio maelekezo nilio pewa
 
Short ya hiyo course ulitaja jina au short course yoyote ?
 
Si utakuwa umefanya research ya kutosha ndio ukaamua hiyo kwa kujua nini na nini unataka mbeleni au?
Hapana hii ni mekuja kudokozewa tu nisomee ata short course kuhusu hii kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom