Kujifanya much know hapa JF kumbe!!!Hell
Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu
Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi
BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT
Kujifanya much know hapa JF kumbe!!!Hell
Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu
Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi
BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT
MaliziaKujifanya much know hapa JF kumbe!!!
Duh ngoja mm nikajaribuBwashee hata univute na trela sikai tena darasani...... hapa nilipoishia panatosha, naweza kusoma vibao barabarani
Ndio nimeanzaFanya utafiti mkuu, anzia hapa then nenda deep zaidi ili kujua kila kitu kuhusu course unayotaka kusoma.
Nishajiuliza sana kuhusu makala zako za kupika kidume. Kumbe, sawa kasome ili angalau....Malizia
Ni vile nime shtukizwa kwenda kusoma aseataelewa tu 😅
labda aamue kuto kuelewa sasa
fanya application hapo online chap. Majina ya chuo pia yasikupumbaze.. hata IAA soma tuNi vile nime shtukizwa kwenda kusoma ase
Usitake nikutukane wewe njoo na ID yako kongwe hapa ndio nikujibuNishajiuliza sana kuhusu makala zako za kupika kidume. Kumbe, sawa kasome ili angalau....
Poa boss shukran ila kwa uzoefu wako kozi hii ina watu wengi? Sipendag jum at mwanzo nilisomaga chuo hakina watu wengifanya application hapo online chap. Majina ya chuo pia yasikupumbaze.. hata IAA soma tu
Sasa hivi huwezi kwepa JAM mahala popote mkuu.. Hapo Muhas penyewe kuna jam now daysPoa boss shukran ila kwa uzoefu wako kozi hii ina watu wengi? Sipendag jum at mwanzo nilisomaga chuo hakina watu wengi
Tukana tu maana ndiyo level yako kielimu. JF ni kiboko, si ajabu mtu ... Naachia hapa. Mh!!!Usitake nikutukane wewe njoo na ID yako kongwe hapa ndio nikujibu
Ahhahaha ase kumbe hatufani mkuu af usifosi tufananeTukana tu maana ndiyo level yako kielimu. JF ni kiboko, si ajabu mtu ... Naachia hapa. Mh!!!
Kaka hii kitu ina wezekana nikachukua short courseSasa hivi huwezi kwepa JAM mahala popote mkuu.. Hapo Muhas penyewe kuna jam now days
yap zipo special course hata za NIT wakishirikiana na CILT ila pia cheki na DMI ( Dar es Salaam Marine Institute ) wana program zuri sana. Unataka course fupi kwa mda gani ?Kaka hii kitu ina wezekana nikachukua short course
msaidie kijana mupa muomgozoSi utakuwa umefanya research ya kutosha ndio ukaamua hiyo kwa kujua nini na nini unataka mbeleni au?
Miezi 6 ina tosha sanayap zipo special course hata za NIT wakishirikiana na CILT ila pia cheki na DMI ( Dar es Salaam Marine Institute ) wana program zuri sana. Unataka course fupi kwa mda gani ?
Shida kupata namba za MDIMiezi 6 ina tosha sana
wataka fanya kama professional course?Miezi 6 ina tosha sana