Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Wadau naombeni kujua vyanzo vya mapato vya huyu brother, Me nilisikia ni mfugaji mzuri tu.Ya Richmond tatizo lilikua ni uwaziri mkuu.Tusimshutumu tuu kua anagawa rushwa wakati pengine tunajua biashara zake na hua anasaidia wenye shida na si kugawa rushwa. Tatizo lake nini? kaiba wapi? lini alitangaza kugombea uraisi?Alisema aliyepata kapata jamani.
 
Subiri watakujibu sasa hivi.

Itakua vuzuri na wengine tufahamu,maana tunasikia anagawa rushwa tu na wakati kwenye list ya wenye ukwasi bongo hayupo.
 
Kwao familia yao iko njema yangu zaman sana hivyo hela zinapitia mkondo huohuo babu yake ndo MTU wa kwanza kumiliki farasi arusha mengine TZ nzima, walikuwa na mashamba balaa, walikuwa supplier Wa food mashulen, hospitals, majesh,nk sijui yy ila kwao hela ilianza kitambo sn
 
Allah kumbe!Basi tusimluam kua ni fisadi,wala mgawa rushwa maana sijawahi kusikia mahali PCCB wamemkamata.Rai yangu ni kwamba asaidie na wale wenye matatizo wanaotaka kwenda kutibiwa India na sio kusaidia wanasiasa tu na makanisani.
 
Wadau naombeni kujua vyanzo vya mapato vya huyu brother, Me nilisikia ni mfugaji mzuri tu.Ya Richmond tatizo lilikua ni uwaziri mkuu.Tusimshutumu tuu kua anagawa rushwa wakati pengine tunajua biashara zake na hua anasaidia wenye shida na si kugawa rushwa. Tatizo lake nini? kaiba wapi? lini alitangaza kugombea uraisi?Alisema aliyepata kapata jamani.

Ndio, kama anafanya biashara, je mtaji alipata wapi? ???? Tafakari. ..
 
Allah kumbe!Basi tusimluam kua ni fisadi,wala mgawa rushwa maana sijawahi kusikia mahali PCCB wamemkamata.Rai yangu ni kwamba asaidie na wale wenye matatizo wanaotaka kwenda kutibiwa India na sio kusaidia wanasiasa tu na makanisani.

ushawahi sikia hata pccb wamemkamata rugemalulira?
 
Chanzo kikuu cha mapato ya Edo ni Mzigo uliotoka Japan uliokuwa unaelekea kwa Samwel Malecela, kwa bahati ikaingia ofisini kwa Lowassa ambaye alizitumia kwa kuwekeza! Chanzo kingine ni Jengo la Ubalozi wa South Africa alizowapangisha kwa Rates za Ulaya, Shivacom, NASHERA Hotel nk...

Chanzo chaMapato c Samwel Sitta ni Ujenzi wa DIA/JIA na CDA

Chanzo cha mapato cha Membe ni Change ya Rader na Fedha za Ghadaffi

Chanzo cha Mapato cha Pinda ni Deals za Sukari na ESCROW

Wassira : ESCROW, UJANGILI , MIKATABA YA MADINI

MAkamba Jr: Kodi ya Simu, MIkataba ya Madini, ESCROW

Nchemba: ESCROW, Viwanja na majengo ya CCM

SUMAYE : Mikataba ya Madini, Ranch

Muhogo: ESCROW, Mikataba ya Madini

MAGUFULI: Mikopo ya WB, 50% Kwenye mikataba ya ujenzi, mapato ya vivuko

MWAKYEMBE: Mikataba bandarini, Deal la Nishati, Vivuko, ESCROW

Wadau naombeni kujua vyanzo vya mapato vya huyu brother, Me nilisikia ni mfugaji mzuri tu.Ya Richmond tatizo lilikua ni uwaziri mkuu.Tusimshutumu tuu kua anagawa rushwa wakati pengine tunajua biashara zake na hua anasaidia wenye shida na si kugawa rushwa. Tatizo lake nini? kaiba wapi? lini alitangaza kugombea uraisi?Alisema aliyepata kapata jamani.
 
Allah kumbe!Basi tusimluam kua ni fisadi,wala mgawa rushwa maana sijawahi kusikia mahali PCCB wamemkamata.Rai yangu ni kwamba asaidie na wale wenye matatizo wanaotaka kwenda kutibiwa India na sio kusaidia wanasiasa tu na makanisani.

Yeye ndiye aliyeanzisha PCCB at least alimuweka hapo Hosea
 
1. Lowassa mbadhirifu wa mali zake; ukitaka kuwa na mali fanya kila kitu kwa kushirikisha familia yako,hakikisha mke anajua kila senti inayopita mkononi mwako
2.Ukitoka kazini nenda moja kwa moja nyumbani ukakae na familia;michepuko na ufahari wa kupita baa siyo deal
3.Hakikisha marafiki zako ni watu wenye tabia kama yako;ikiwa wana tabia tofauti shirikiana nao pale tu ambapo kuna utakachopata lakini ukipata chako peleka nyumbani fasta wakati wenzako wanakimbia kupeleka kwa maharwa zao

KWA UCHACHE HIZO NDO TABIA ZILIZOMWEZESHA LOWASSA KUWA NA MALI KULIKO WENZAKE AKINA JK;WAO WANASHTUKA SAIVI UZEENI WAKATI MWENZAO ALICHANGANYA NA ZAKE MAPEMA.
 
wizi ndo biashara kubwa anafanya, utapeli wa mikataba feki hadi kesho unalipa, si unakumbuka orodha ya escrow hadi yona alikuwemo kwenye chenji kidogo
 
1. Lowassa mbadhirifu wa mali zake; ukitaka kuwa na mali fanya kila kitu kwa kushirikisha familia yako,hakikisha mke anajua kila senti inayopita mkononi mwako
2.ukitoka kazini nenda moja kwa moja nyumbani ukakae na familia;michepuko na ufahari wa kupita baa siyo deal
3.hakikisha marafiki zako ni watu wenye tabia kama yako;ikiwa wana tabia tofauti shirikiana nao pale tu ambapo kuna utakachopata lakini ukipata chako peleka nyumbani fasta wakati wenzako wanakimbia kupeleka kwa maharwa zao

kwa uchache hizo ndo tabia zilizomwezesha lowassa kuwa na mali kuliko wenzake akina jk;wao wanashtuka saivi uzeeni wakati mwenzao alichanganya na zake mapema.

good sana umenena vema sana.
Sifa zikuendee wewe.
 
Hata kama kweli ana mkono (atatuibia), ni bora yeye mara 1,000 kuliko vile tulivyo sasa na auto-presidnt!
 
Si EL peke yake. Ni ccm wengi.
Chanzo cha mapato yao kwa neno moja ni ufisadi.
Wizi wa moja kwa moja
Percent kwenye mikataba mibovu
Hizo ndio njia kuu!
 
pesa ya lowassa haina uhusiano na richmond lakin naungana naww kuwa ugawaji wake haukizi malengo ya usaidiaji kwani kunawatu wenye matatizo ya muhimu kama magonjwa sugu lakini hawafikii walipo
 
Back
Top Bottom