Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

Ndugu unachanganya Mambo, NTA Level 7 ni sawa na Mwaka wa Pili wa Bachelor Degree ktk mfumo wa NACTE ambayo ndo inaitwa Higher Diploma. Wewe hapa Bongo ulisoma Chuo gani chenye collabo na Greenwich? Je ni Learn IT, IIT au wapi hao? Na ulkua na Cheti gani kingine mbali ya hiyo topping up ya Mwaka mmoja wa Greenwich maana Lazima NACTE wange-evaluate kama Degree tu Kama kila kitu kilkua sawa
Nilisoma IT
 
Nilikuwa na International Advanced Diploma ya NCC
 
Kama

Nmekupata, Kuna waliotokea Advance wakapiga International Diploma Mwaka M1 then hiyo International Advanced Diploma halafu wanafanya topping up hapo Greenwich na wanatambulika Kama Degree holders vzr tu na baada ya hapo Kuna mmoja akaenda kupiga Masters hapa Bongo
 
TCU walikataa kufanya evaluation kwa sababu chuo kilikuwa chini ya NACTE
Chuo kilifanya tu collaboration na Greenwich sikukwea pipa kwenda kusoma UK

Kuna kitu hakiko sawa. Wewe una degree ya greewich university. Degree hiyo inatakiwa iwe evaluated na tcu (naona watakuwa wamekwepa majukumu yao).
Tukiacha hilo bado sielewi na pia sikubaliani na conversion iliyofanika greenwich ni chuo kikubwa uk inakuwaje degree yao iambiwe ni sawa na higher diploma. NACTE wana tatizo kuhusu hizo programs za ncc edu.
Pole kwa hilo.
 
Kama

Nmekupata, Kuna waliotokea Advance wakapiga International Diploma Mwaka M1 then hiyo International Advanced Diploma halafu wanafanya topping up hapo Greenwich na wanatambulika Kama Degree holders vzr tu na baada ya hapo Kuna mmoja akaenda kupiga Masters hapa Bongo
Huyu ana top_up degree ya greenwich university nashindwa kuelewa kwa nini nacte wana equate degree yake ya uk na diploma zetu. Ukicheck hizo uk courses utaona ziko under strict control na board zao na pia na vyuo vinavyo toa hizo top up degrees.
 
Ni sahihi, na zinatambulika fully kama Shahada zingine tu, cjui hao NACTE walichemkia wapi
 
Back
Top Bottom