- Thread starter
- #21
Nilisoma ITNdugu unachanganya Mambo, NTA Level 7 ni sawa na Mwaka wa Pili wa Bachelor Degree ktk mfumo wa NACTE ambayo ndo inaitwa Higher Diploma. Wewe hapa Bongo ulisoma Chuo gani chenye collabo na Greenwich? Je ni Learn IT, IIT au wapi hao? Na ulkua na Cheti gani kingine mbali ya hiyo topping up ya Mwaka mmoja wa Greenwich maana Lazima NACTE wange-evaluate kama Degree tu Kama kila kitu kilkua sawa