pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,206
- 6,440
Habari ndugu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna dogo alikuwa anasoma hii elimu ya kati,kamaliza certificate, mwaka huu kamaliza diploma yake.
Sasa nasikia kesho mwisho wa kuofanya maombi ya kujiunga na degree na hawezi jiunga na degree pasipo AVN kutoka nacte, na kafany maombi nacte wanagoma kuthibitisha wanamwambia kuwa hakuwa na vigezo vya kusoma nta level six.
Yeye anasema kuwa ana c, d na e tatu zote kapata miaka tofauti hapa nashindwa elewa, najua qualification ni D nne , amenichanganya kidogo, amekubaliwa vipi kusoma mpaka amalize diploma wamgomee mwishoni inamaana level nyingine kapitaje?
Mwenye uelewa aeleze hapa.