Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

kaka tivi

Member
Aug 15, 2014
15
8
Kama kichwa cha mada kinavyosema, naomba ufahamu kama ukiwa na Qualification hiyo unaweza soma Postgraduate Diploma ya Business Administration
 
Hivi bado zipo maana kuna mdau niliona ana hiyo Diploma na Masters hakuwa na degree. Ila alisoma siku nyingi sana pale IAA miaka ya 2008/9
 
Kama kichwa cha mada kinavyosema, naomba ufahamu kama ukiwa na Qualification hiyo unaweza soma Postgraduate Diploma ya Business Administration
Haiwezekani. Kwa utaratibu wa sasa utakua umekosa sifa, itakulazimu umalizie modules zilizobaki, upate bachelor. Mengine yataendelea.
Nimewasilisha

Akhsante.
 
Una higher/advanced diploma ya nini?Ulisomea Tanzania?
Nilisomea hapa hapa Tanzania
Nilipata Bachelor ya Business Information Technology ya University of Greenwich, baada ya kufanya Award Evaluation NACTE wakanipatia hiyo Higher Diploma
 
Nilisomea hapa hapa Tanzania
Nilipata Bachelor ya Business Information Technology ya University of Greenwich, baada ya kufanya Award Evaluation NACTE wakanipatia hiyo Higher Diploma
Hapa kuna shida
1. Imekuwaje NACTE wafanye evaluation ya degree yako na si TCU?
2. Walitumia vigezo gani hadi dègree ya chuo kizuri kama greenwich wao waseme ni sawa na higher diploma?

TCU wana admission guide ya post graduate download hiyo halafu check kama with a higher diploma unaweza kusoma hiyo pg_diploma au wasiliana nao.
 
Kama kichwa cha mada kinavyosema, naomba ufahamu kama ukiwa na Qualification hiyo unaweza soma Postgraduate Diploma ya Business Administration
Hapana, kwasababu ili ufanye Postgraduate Diploma Lazima uwe na Bachelor au Advanced Diploma, Sasa kwa mfumo wa Tanzania hiyo Higher Diploma ni sawa na Mwaka wa Pili wa Bachelor Degree, so nenda kafanye topping up mwaka mmoja upate Bachelor Degree kamili ndo uwaze abt Postgraduate Diploma
 
Hivi bado zipo maana kuna mdau niliona ana hiyo Diploma na Masters hakuwa na degree. Ila alisoma siku nyingi sana pale IAA miaka ya 2008/9
Mkuu umechanganya, huyo unaemsema itakua ulimuona ana Advanced Diploma ambayo ni equivalent to Bachelor Degree ndio Maana uliona alienda hadi kufanya Master Degree
 
Nilisomea hapa hapa Tanzania
Nilipata Bachelor ya Business Information Technology ya University of Greenwich, baada ya kufanya Award Evaluation NACTE wakanipatia hiyo Higher Diploma
Kaka, Kuna tatizo mahalo, nawafahamu watu waliosoma hicho Chuo na walipata Evaluation zao TCU vzr Kama Degree holder, iweje wewe NACTE wakuambie ni Higher Diploma? Labda hebu list vyet vyote ulivyonavyo labda Kuna kitu hakipo sawa ndo Mana ikawa hivyo ili tujarb kushauri
 
Hapa kuna shida 1. Imekuwaje nacte wafanye evaluation ya degree yako na si tcu?
2. Walitumia vigezo gani hadi dègree ya chuo kizuri kama greenwich wao waseme ni sawa na higher diploma?
TCU wana admission guide ya post graduate download hiyo halafu check kama with a higher diploma unaweza kusoma hiyo pg_diploma au wasiliana nao.
TCU walikataa kufanya evaluation kwa sababu chuo kilikuwa chini ya NACTE
Chuo kilifanya tu collaboration na Greenwich sikukwea pipa kwenda kusoma UK
 
Mkuu umechanganya, huyo unaemsema itakua ulimuona ana Advanced Diploma ambayo ni equivalent to Bachelor Degree ndo Mana uliona alienda hadi kufanya Master Degree
Labda naomba kuuliza Advanced Diploma ilikuwa ni NTA Level gani? Sababu kwenye NTA Levels sikuhizi hamna Advanced Diploma bali ipo Higher Diploma ambayo ni NTA Level 7
 
Labda naomba kuuliza Advanced Diploma ilkuwa ni NTA Level gani??! sababu kwenye NTA Levels sikuhizi hamna Advanced Diploma bali ipo Higher Diploma ambayo ni NTA Level 7

Labda naomba kuuliza Advanced Diploma ilkuwa ni NTA Level gani??! sababu kwenye NTA Levels sikuhizi hamna Advanced Diploma bali ipo Higher Diploma ambayo ni NTA Level 7
Ndugu unachanganya Mambo, NTA Level 7 ni sawa na Mwaka wa Pili wa Bachelor Degree ktk mfumo wa NACTE ambayo ndo inaitwa Higher Diploma. Wewe hapa Bongo ulisoma Chuo gani chenye collabo na Greenwich? Je ni Learn IT, IIT au wapi hao? Na ulkua na Cheti gani kingine mbali ya hiyo topping up ya Mwaka mmoja wa Greenwich maana Lazima NACTE wange-evaluate kama Degree tu Kama kila kitu kilkua sawa
 
Back
Top Bottom