Ur wrong, infinix wako hatua moja mbele zaidi ya tecno japo hawawafikii oppo na hata xiaomiFanya sarakasi zoote ila usithubutu hata kwa mtutu wa bunduki kununua brand yoyote inayoitwa infinix,hiyo ni baba mmoja mama mmoja na tecno.
wanatumia chip gani?Ur wrong, infinix wako hatua moja mbele zaidi ya tecno japo hawawafikii oppo na hata xiaomi
Akijibu nitag!wanatumia chip gani?
Ni nzuri ila tu kama bei iikuwa reasonable maana nayo inatumia MEDIATEK CHIPNakushauri nunua Oppo kwa uzoefu wa ninayoitumia (Oppo F5) ni simu nzuri sana. Uzuri wake unatokana na:
1. Mwonekano
Ina mwonekano mzuri wa kuvutia
Ni nyembamba na ina rangi nyeusi ya kung'aa isiyopauka wala kuchubuka kirahisi
2. Utunzaji chaji
Inakaa sana na chaji, kwa mfano mm sizimi data muda wote, kuichaji labda usiku naporejea nyumbani
3. Mtandao
Ni 4G (LTE) ; line mbili
4. Camera
Kama ww ni mtu wa picha bhasi umepata jawabu. Ina 20MP/16MP! Self vs Rear
5. Security
Ina mifumo mitatu ya utambuzi kwa finger, face na passcode
6. Spare na accessories
Ukweli mm bado sijapata changamoto kwa kuharibika. Ila nilipata changamoto kwenye kununua cover hadi kupata nilisota sana kwn hii cm nilinunulia Mombasa, Kenya. Jp kwa ss nimeambiwa na jamaa mmoja Kkoo, accessories zinapatkn lkn kwa bei ya juu kwn bado sio cm (model f5) nyingi sokoni hapa Tanzania
Mengine angalia screenshot naambatanishaView attachment 895380
Asante mkuu.Nakushauri nunua Oppo kwa uzoefu wa ninayoitumia (Oppo F5) ni simu nzuri sana. Uzuri wake unatokana na:
1. Mwonekano
Ina mwonekano mzuri wa kuvutia
Ni nyembamba na ina rangi nyeusi ya kung'aa isiyopauka wala kuchubuka kirahisi
2. Utunzaji chaji
Inakaa sana na chaji, kwa mfano mm sizimi data muda wote, kuichaji labda usiku naporejea nyumbani
3. Mtandao
Ni 4G (LTE) ; line mbili
4. Camera
Kama ww ni mtu wa picha bhasi umepata jawabu. Ina 20MP/16MP! Self vs Rear
5. Security
Ina mifumo mitatu ya utambuzi kwa finger, face na passcode
6. Spare na accessories
Ukweli mm bado sijapata changamoto kwa kuharibika. Ila nilipata changamoto kwenye kununua cover hadi kupata nilisota sana kwn hii cm nilinunulia Mombasa, Kenya. Jp kwa ss nimeambiwa na jamaa mmoja Kkoo, accessories zinapatkn lkn kwa bei ya juu kwn bado sio cm (model f5) nyingi sokoni hapa Tanzania
Mengine angalia screenshot naambatanishaView attachment 895380
Mbona hata xiaomi note 4,note 5 zina 4000mAh na ni simu kali anyway kipenda roho mkuu.Nimekuelewa kaka infinix ni jamii ya tecno il imeipende kwa sababu inakaa na chaji kwa muda mrefu infinix note 5.
Battery ni 4500mAh
umetumia simu za Huawei? naona battery zake zina capacity kubwa mpaka 5000mAh ila bila ushuhuda kwa heavy user hayo maandishi yanabakia mtandaoni tuu.Mbona hata xiaomi note 4,note 5 zina 4000mAh na ni simu kali anyway kipenda roho mkuu.
Hakuna hatua moja matatizo ya Tecno ndio matatizo ya infinix na itel simu za kishamba sanaUr wrong, infinix wako hatua moja mbele zaidi ya tecno japo hawawafikii oppo na hata xiaomi