Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
787
Likes
582
Points
180
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
787 582 180
Sijawahi kutumia kabisa hizi simu (Oppo K1 na Xiaomi mi red 4 na Infinix note 5) naomba wataalamu wanijuze ubora wa hizo simu kwa kuangalia
1/Uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu hasa unapoangalia video za HD, MPE, uanapocheza games na internet.
2/Ugumu pale ikidondoka isioteze network a.k.a kuanza kuchanganya mafile kwa sababu accident yaweza tokea muda wowote.
3/4G LTE support
4/Camera
5/Urefu napendelea 5inch maximum.
6/Maintenance yake incase simu ikiharibika nipate spare kirahisi.
7/Android Nougat minimum itapendeza.
8/Speed yani hapa nazungumzia multitasking mzee maana nataka nipige kazi nyingi kwa wakati mmoja mfano nahamisha mafile kwa computer, inadwoload movie Zaidi ya tano, inachaji, na kuplay game, WhatsApp message zikitiririka kila muda, insta, facebook na telegram ziwe active at the same time.
9/Kutumika miaka mingi "Life cycle" napenda simu unayoweza tumia muda mrefu ibaki bado mpya na functionality zake (Software na hardware.)
10/Processor nzuri sipendi michina ya Media tek inayostack kila dakika unapo run game au app nyingi.

MWISHO
Nataka kujua gharama zake na maduka nayoweza kupata kwa dar huwa sinunui vitu mtaani. Pia zenye ubora Zaidi ya hizo hapo juu hasa battery kwa sababu mimi ndipo ninapo haribu kila ninapo nunua simu so watu wazito mnaweza nisaidia.
 
jay-millions

jay-millions

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
1,248
Likes
1,112
Points
280
jay-millions

jay-millions

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2015
1,248 1,112 280
Kamata xiaomi mi 8 lite inapiga mzigo zaidi ya ulioandika hapo au chukua Huawei honor play hiyo waweza tumia miaka mitatu na bado ipo gado kama imetoka shop leo, NB : spare za simu hizo bongo hamna kama shida yako ni spare nunua tecno au Samsung refurbished make kupata Samsung mpya og bongo ni mziki
 
uzeebusara

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
528
Likes
311
Points
80
uzeebusara

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
528 311 80
Nakushauri nunua Oppo kwa uzoefu wa ninayoitumia (Oppo F5) ni simu nzuri sana. Uzuri wake unatokana na:
1. Mwonekano
Ina mwonekano mzuri wa kuvutia
Ni nyembamba na ina rangi nyeusi ya kung'aa isiyopauka wala kuchubuka kirahisi

2. Utunzaji chaji
Inakaa sana na chaji, kwa mfano mm sizimi data muda wote, kuichaji labda usiku naporejea nyumbani

3. Mtandao
Ni 4G (LTE) ; line mbili

4. Camera
Kama ww ni mtu wa picha bhasi umepata jawabu. Ina 20MP/16MP! Self vs Rear

5. Security
Ina mifumo mitatu ya utambuzi kwa finger, face na passcode

6. Spare na accessories
Ukweli mm bado sijapata changamoto kwa kuharibika. Ila nilipata changamoto kwenye kununua cover hadi kupata nilisota sana kwn hii cm nilinunulia Mombasa, Kenya. Jp kwa ss nimeambiwa na jamaa mmoja Kkoo, accessories zinapatkn lkn kwa bei ya juu kwn bado sio cm (model f5) nyingi sokoni hapa Tanzania

Mengine angalia screenshot naambatanisha
screenshot_2018-10-12-10-36-41-08-jpeg.895380
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
486
Likes
235
Points
60
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
486 235 60
Nakushauri nunua Oppo kwa uzoefu wa ninayoitumia (Oppo F5) ni simu nzuri sana. Uzuri wake unatokana na:
1. Mwonekano
Ina mwonekano mzuri wa kuvutia
Ni nyembamba na ina rangi nyeusi ya kung'aa isiyopauka wala kuchubuka kirahisi

2. Utunzaji chaji
Inakaa sana na chaji, kwa mfano mm sizimi data muda wote, kuichaji labda usiku naporejea nyumbani

3. Mtandao
Ni 4G (LTE) ; line mbili

4. Camera
Kama ww ni mtu wa picha bhasi umepata jawabu. Ina 20MP/16MP! Self vs Rear

5. Security
Ina mifumo mitatu ya utambuzi kwa finger, face na passcode

6. Spare na accessories
Ukweli mm bado sijapata changamoto kwa kuharibika. Ila nilipata changamoto kwenye kununua cover hadi kupata nilisota sana kwn hii cm nilinunulia Mombasa, Kenya. Jp kwa ss nimeambiwa na jamaa mmoja Kkoo, accessories zinapatkn lkn kwa bei ya juu kwn bado sio cm (model f5) nyingi sokoni hapa Tanzania

Mengine angalia screenshot naambatanisha View attachment 895380
Ni nzuri ila tu kama bei iikuwa reasonable maana nayo inatumia MEDIATEK CHIP
 
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
787
Likes
582
Points
180
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
787 582 180
Ni kosa kubwa kufananisha TECNO na hizi brand mbili mkuu XIAOMI na OPPO zenye kueleweka.
Nimekuelewa kaka infinix ni jamii ya tecno il imeipende kwa sababu inakaa na chaji kwa muda mrefu infinix note 5.
Battery ni 4500mAh
 
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
787
Likes
582
Points
180
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
787 582 180
Nakushauri nunua Oppo kwa uzoefu wa ninayoitumia (Oppo F5) ni simu nzuri sana. Uzuri wake unatokana na:
1. Mwonekano
Ina mwonekano mzuri wa kuvutia
Ni nyembamba na ina rangi nyeusi ya kung'aa isiyopauka wala kuchubuka kirahisi

2. Utunzaji chaji
Inakaa sana na chaji, kwa mfano mm sizimi data muda wote, kuichaji labda usiku naporejea nyumbani

3. Mtandao
Ni 4G (LTE) ; line mbili

4. Camera
Kama ww ni mtu wa picha bhasi umepata jawabu. Ina 20MP/16MP! Self vs Rear

5. Security
Ina mifumo mitatu ya utambuzi kwa finger, face na passcode

6. Spare na accessories
Ukweli mm bado sijapata changamoto kwa kuharibika. Ila nilipata changamoto kwenye kununua cover hadi kupata nilisota sana kwn hii cm nilinunulia Mombasa, Kenya. Jp kwa ss nimeambiwa na jamaa mmoja Kkoo, accessories zinapatkn lkn kwa bei ya juu kwn bado sio cm (model f5) nyingi sokoni hapa Tanzania

Mengine angalia screenshot naambatanisha View attachment 895380
Asante mkuu.
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
486
Likes
235
Points
60
M

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
486 235 60
Nimekuelewa kaka infinix ni jamii ya tecno il imeipende kwa sababu inakaa na chaji kwa muda mrefu infinix note 5.
Battery ni 4500mAh
Mbona hata xiaomi note 4,note 5 zina 4000mAh na ni simu kali anyway kipenda roho mkuu.
 
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
787
Likes
582
Points
180
jf user

jf user

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
787 582 180
Mbona hata xiaomi note 4,note 5 zina 4000mAh na ni simu kali anyway kipenda roho mkuu.
umetumia simu za Huawei? naona battery zake zina capacity kubwa mpaka 5000mAh ila bila ushuhuda kwa heavy user hayo maandishi yanabakia mtandaoni tuu.
Huawei honor note 10 yenye 5000mAh na honor c8 nyenye 4000mAh?
 
Forum statistics

Threads 1,236,524
Members 475,191
Posts 29,260,785