jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 622
Sijawahi kutumia kabisa hizi simu (Oppo K1 na Xiaomi mi red 4 na Infinix note 5) naomba wataalamu wanijuze ubora wa hizo simu kwa kuangalia
1/Uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu hasa unapoangalia video za HD, MPE, uanapocheza games na internet.
2/Ugumu pale ikidondoka isioteze network a.k.a kuanza kuchanganya mafile kwa sababu accident yaweza tokea muda wowote.
3/4G LTE support
4/Camera
5/Urefu napendelea 5inch maximum.
6/Maintenance yake incase simu ikiharibika nipate spare kirahisi.
7/Android Nougat minimum itapendeza.
8/Speed yani hapa nazungumzia multitasking mzee maana nataka nipige kazi nyingi kwa wakati mmoja mfano nahamisha mafile kwa computer, inadwoload movie Zaidi ya tano, inachaji, na kuplay game, WhatsApp message zikitiririka kila muda, insta, facebook na telegram ziwe active at the same time.
9/Kutumika miaka mingi "Life cycle" napenda simu unayoweza tumia muda mrefu ibaki bado mpya na functionality zake (Software na hardware.)
10/Processor nzuri sipendi michina ya Media tek inayostack kila dakika unapo run game au app nyingi.
MWISHO
Nataka kujua gharama zake na maduka nayoweza kupata kwa dar huwa sinunui vitu mtaani. Pia zenye ubora Zaidi ya hizo hapo juu hasa battery kwa sababu mimi ndipo ninapo haribu kila ninapo nunua simu so watu wazito mnaweza nisaidia.