Shukrani kiongoziwebcam ni jina linalotumika mara nyingi kuelezea camera ya mbele ya dekstop/laptop
kwa desktop inakuwa kama hivi
kwa laptop inakuwa kama hivi
3gp hii ni format ya video mara nyingi zinakuwa ni video zinazotumika kwenye simu zenye quality ndogo.
mp4 pia ni format ya video kama 3gp lakini hii inakuwa na quality zaidi na inaangalizika kwa simu na pc na tv nk