Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

Concepts = conceptual framework

Theories = theoretical framework
 
May be nitoe mfano;

Hypothesis yaweza kuwa, matumizi ya maji safi na salama ni kinga dhidi ya kipindupindu.

Lakini conceptual framework itakuwa inaeleza nini maana ya maji safi? Na maji yapi ni salama? Kwa kuwa watu tofauti wanaweza kuwa na maana tofauti ya maji safi na salama. Mfano mimi naweza kudefine maji safi na salama ni ya bomba, mwingine anaweza kusema maji safi na salama ni yale kama ya yalipitishwa katika stage zote za uchujaji na distillation kama ya akina azam etc.

So the hypothesis ni sawa ila kutext kuhusu maji safi na salama ni tofauti.

So utatakiwa kudevelop conceptual framework kuwa kwa study yako maji safi na salama yana maana ipi then ukishapata hiyo maana ndiyo unaenda kutest hiyo hypothesis yako kuwa maji safi na salama yaweza kuwa kinga dhidi ya kipindupindu.
 
Ina maana Jamii forum hakuna watu
wenye uwezo wakumsaidia ..?
Nyie ndio wale ambao huwa mkipata doctorate
au kuwa professor basi una amini mwalimu wako
wa darasa la kwanza aliyekufunza kusoma
na kuandika kuwa hawezi kukufunza kitu kwani
kwa muda huo unakuwa ume mzidi kila kitu.

Mbona mie naona mleta mada kauliza kiungwana
tu, kwa anayejua anamfafanulia kiroho safi bila kwele nyingi.

NB:
Nikukumbushe kitu kimoja kwenye kusoma wana
taaluma tuna amini kuwa "Learning is an endless process''.

Meinkempf = my own strength. Kusema vile sikuimanisha kuwa jamii forums haina wasomi najua wapo! Lakini tusiifanye kuwa first hand information wakati vitabu vimeandika mengi kuhusu hilo, au pengine angeomba watu wamwelekeze vitabu vinavyogusia kwa urahisi hiyo topic yake. Kuna wakati wazungu walisema "if you want to keep an African from anything,keep it in writing"
 
Na usisahau kuzingatia literature review yako yote unapodadavua conceptl.


sawa kabisa kwa hiyolazima kuwe na link ya zile literature ntakazotumia lazima zibezi kwenye conceptual frmwk nisije elezea kingine kwenye literature reviews na conceptual ikaenda pembeni..
 
Jamii forums kweli ni Bahari isiyo na Pwani tunashukuru sana kwa hili Darsa adheem!!
 
Navyoelewa mimi conceptual framework inakuwa developed kutoa details kuhusiana na major themes utakazofanya nazo kazi. It tells more about the context of your writing kwa kudefine wewe kama wewe unaview vipi study yako.

Maake the same study inaweza kuwa katika contexts tofauti tofauti so wewe kama mtafiti unafanya kazi katika context ipi?? Hiyo ndio naifahamu kama conceptual framework.

Na kuhusu theoretical framework hii huwa inakuwa developed kutokana na theories ambazo zimeshaandikwa kuhusiana na hicho unachokifanyia tafiti. It comes more from pre existing literature.

Huu ndio ukweli maana conceptual lazima uwe na variables ambazo zinatakiwa ziwe neutral na ni wewe researcher wa kuzidevelop pia unaweza kuadopt ya mtu mwingine ila unapasqa kumodify na uonyeshe umeadopt kutoka wapi theoretical existing theory ambazo huwa ni za mtu mwingine
 
Ngoja mie nikusaidie kuelewa kwa kukueleza the roles of these frameworks. Tha conceptual framework provides a general representation of relationships between things in a given phenomenon. Kwa maana ingine inasummarize the relationships zinazoelezea a certain theory or theories. A theoretical framework is broader in scope than a conceptual as it describes a broader relationship between things.
A conceptual framework it specifies the specific relationship between the variables examined in a study. Hili neno "conceptual" limetoka kwenye neno concept. Kwa kifupi ni relationship between the concepts zinazotafitiwa. Kwasababu una ufahamu wa hypotheses utaona kuwa conceptual framework inaziainisha hypothesis humo ndani kwa sababu in a way, conceptual framework is the researcher's idea on how the research problem will have to be explored.


ahsante sana
kwa kunilinkishia hypothesisis na conceptual framework ndicho kilichokuwa kimebaki kinanisumbua "conceptual frm wrk inaziainisha hypothesis" ahsante sana
 
May be nitoe mfano;

Hypothesis yaweza kuwa, matumizi ya maji safi na salama ni kinga dhidi ya kipindupindu.

Lakini conceptual framework itakuwa inaeleza nini maana ya maji safi? Na maji yapi ni salama? Kwa kuwa watu tofauti wanaweza kuwa na maana tofauti ya maji safi na salama. Mfano mimi naweza kudefine maji safi na salama ni ya bomba, mwingine anaweza kusema maji safi na salama ni yale kama ya yalipitishwa katika stage zote za uchujaji na distillation kama ya akina azam etc.

So the hypothesis ni sawa ila kutext kuhusu maji safi na salama ni tofauti.

So utatakiwa kudevelop conceptual framework kuwa kwa study yako maji safi na salama yana maana ipi then ukishapata hiyo maana ndiyo unaenda kutest hiyo hypothesis yako kuwa maji safi na salama yaweza kuwa kinga dhidi ya kipindupindu.

ahsante xana
 
The terms conceptual framework and theoretical framework are often used interchangeably but in reality they mean different things. A theoretical framework gives the relationship(s) between variables/concepts based on a particular theory-research has been done and a theory has been developed. You are basing your research on this particular theory.

When you move in an area of research and you are not basing your research on a particular theory you would put up your scheme indicating how you think the concepts you are studying are related. This is your conceptual framework. If you and others work in this area generating data and inferences then you may turn your conceptual framework into a theoretical framework through the creation of a new theory. When I use your new theory to guide my research I use a theoretical framework.

A hypothesis in quantitative research would be giving an anticipated relationship between two variables and your research would aim at testing this particular relationship based on a study design coupled with testing the role of chance statistically.
 
You may find the following reference informative: Google and download

Imenda S (2014) Is there a Conceptual Difference between Theoretical and Conceptual Frameworks? J. Soc Sci, 38(2), 185-195
 
Mr unatumia design gan? Ushaanza kuandika proposal? Naona unachanganya qualitative na quantitave method, inabidi uchague design moja au kama unataka utumie mixed. Usipoolewa vzr kwenye design utaenda mbele Kisha utarud nyuma kuanza ten a
 
You may find the following reference informative: Google and download

Imenda S (2014) Is there a Conceptual Difference between Theoretical and Conceptual Frameworks? J. Soc Sci, 38(2), 185-195

Mkuu tunashukuru kwa msaada wako. Hii pia itasaidia wengine pia.
 
Let me try to explain the differences between the terms you are enquiring about. These terms are related but are not done sequentially as explained below. You will have to keep on going forward and backwards perfecting each area in the process.
Literature Review
After coming up with a topic you need to do some literature review to see what others have done in the area you want to research. If youdon't find any literature then chances are the topic is not that important and you will have a tough time to convince your supervisor and examiners.
As you do the literature reviews look for concepts used. The most prevalent concepts tell you the issues you must address in the topic you have chosen. Remember that your reviewers would be persons who know a lot about the topic you are researching on. Show them you also know the area. Read a lot.

TheoreticalFramework
Every researcher, including yourself has got some beliefs about the phenomenon you are trying to research. Let's take a topic such as: The Disparity of Starting Salaries forFirst Degree Graduates in Business. When you are faced with such a topic you will have to first do a literature review to see what others have written in the same or related topics. Look for the terms used such as demand and supply, subject area, etc. and master them. Look also for theories used by the authors to construct their papers. If you are reading a qualitative paper, especially one which is interpretive you cannot miss the theory used by the author.

I can say a theory is a belief. What does the theory do? In the most simplistic explanation I can say it exposes the author's beliefs about the issue she or he is writing about. For example, based on the topic hinted above one author may think that the issue should simply be investigated in terms of Laws of Demand and Supply. Another author may investigate the same issue in terms of Globalisation. Yet another author may think the whole issue boils around Chronism (Ukabila, undugu, udini,ukanda, etc.). So each will write according to their beliefs.


I said it is simplistic because save for Laws of Demand and Supply and Possibly Globalisation, Chronismmay not be a theory at all. Authors use theories which are already known andestablished. If you are in social sciences you might have heard theories such as Structuration, Theory of Planned Behavior, Actor Network Theory, etc.

So what is important after you have read all the papers, noting the major terms or concepts used , and the theories used (if any) you may like to differ with them and look at the issue using your own theory such as Feminism. At that point your argument will be that the disparities in remuneration are not caused by Laws of Demand and Supply or by Globalisation or by Chronism but by Gender related issues. You will have to look for an appropriate Gender theory which can help you in your research as there are many.

After deciding on the appropriate theory that you will use in your research you will have to tell your readers what you know about the theory. You must read a lot about the theory so that it becomes very clear to you. You will then have to clearly explain the concepts used in that theory and how they relate to the problem you are studying. Your write-up will be called the Theoretical Framework.
After finishing the Theoretical Framework some researchers go back to the research topic and try to change it to reflect the theory being used such as: A Feminist Enquiry Into the Disparity of Starting Salaries for First Degree Graduates in Business, or How Globalization Affects The Disparity of Starting Salaries for First DegreeGraduates in Business, etc.

Conceptual Framework
Based on your literature review where you would have taken some general concepts about the subject area you want to study and the theoretical framework where you would have also taken some key concepts about the theory you are going to use you can prepare a Conceptual Framework. Many writers use diagrams to explain the relationship between the concepts which will be investigated in the study. Google and you will find a lot of them. The Conceptual framework is like scaffolding which you use to a guide and to limit yourself as to what you want to do. Rather than starting a conceptual framework from scratch some authors borrow other researcher's conceptual frameworks and modify them to suit their needs.

Hypotheses
Formulation and testing of hypotheses applies only to quantitative studies. Hypotheses should come from you research questions, research objectives and the conceptual framework. Actually all your hypotheses can be shown in a conceptual framework diagram i.e. showing how the various nodes in your diagram correlate with each other.

Note: Not all authors address the areas I have talked about above. You will have to ask your supervisor if you really need separate sections for theoretical and conceptual frameworks. Some can merge both of them into the literature review and simply come up with a separate section for hypotheses.

Kazi njema
 
Mimi nipo tayari kukusaidia kuweza kutofautisha hypothesis, conceptual na theoretical framework kwa njia ya simu au f2f kama upo bongo.
 
Back
Top Bottom