Naomba kujua tafadhalini!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua tafadhalini!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Sinai, Jan 20, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu mtu aliyejulikana kwa jina la Mr. Nice kajichimbia wapi siku hizi? Maana hasikiki kabisa, au ndo zile nyimbo za watoto alizokuwa akiimba zimemwishia na hivyo hana ubavu wa kutunga mpya?
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  siku hizi ana bendi yake inatumbuiza pale masai club
   
Loading...