Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,649
Naona roho imepoa kumweka nanihii wako hapoHuyu kijana ni kati ya vijana wachache waliokuwa wanakuja kasi sana kwenye siasa za nchi yetu hasa upande wa upinzani.
Ilifikia wakati akatabiriwa kuwa anaweza kuvaa viatu vya Ukatibu Mkuu Chadema, kulingana na siasa misimamo na uadilifu wake na alionekana kuwa ni lulu ya Taifa kwa baadae.
Lakini mpaka sasa sijui bado ni Naibu katibu Mkuu Chadema ama alisha staafu, ama ujio wa Lowasa umemchanganya kijana hajui afuate njia ipi aache njia ipi.
Salumu Mwalimu tuambie uko wapi,?
mpaka sasa ndani ya Chadema sijaona kijana wa kuvaa viatu vyako...
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app