Hapo kutakuwa na mtu ndani ya cdm ameshamuona threat, hivyo anatumia mwanya wa issues hizo na serikali kumpotezea ramani. Mfano, kwa mwelekeo wake na uzanzibari wake huenda mbeleni angependekezwa mgombea mwenza wa urais. Hapo lazima watu waongeze mizengwe juu ya mizengwe ya kesi ili dogo aiogope siasa. Binafsi nimshauri akumbuke kuwa ukiwa mwanasiasa kila mwanasiasa ni adui yako haijalishi ni wa chama chako. Hivyo lazima kukomaa.Mwalimu hana hamu na chadema.Ana kesi kama kumi hivi,kahama,katoro na Geita,kila siku anapanda basi akifika tu kesi imeahirishwa.Chadema wamenyima wakili lakini lema na tundu wamelipiwa mawakili 50
Kwanza tuambie Josephine Mushumbus yuko wapi? Manake wewe hueleweki; kuna wakati watanzania walihisi wewe ni competitor wa Josephine! Hebu tujuze ulisham-outcompete?
Du!
Mkuu umetembelea magereza na unahudhulia mahakamani kusikiliza kesi?Mkuu uko sahihi, sasa hivi vipaji vipya Chadema hakuna kabisa zaidi ya vibaraka wa Mbowe.
Ukiangalia wakati ule kulikuwa na vipaji kila mkoa na vilikuwa vinasikika lakini sasa hivi kimya sana.
Ujio wa Lowasa hautamwacha salama Mbowe
Uongo utakusaidia nini ?Tangu walimkomesha akanyea debe nusu mwezi alipoachia akawa hana hamu!
Lini ndugu.?Atasemea wapi ila mda ukifika mtamwona tu na moto wake uleule hayo mengine yote ni figisu figisu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema yupo gerezani au anakesi mahakamani.!?Mkuu umetembelea magereza na unahudhulia mahakamani kusikiliza kesi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu anapendwa sana na lowassa,team mbowe waliona anaweza kuukwa u KM wakati wowote haswa baada ya lile boya lao kuchina.Mwalimu anazunguka kama sambusa,katoro,kahama geita yupo hapo hapo tu hata wakili hajapewa wakati alitumwa na chama kwenda kukinukisha,chadema watu wabaya sanaHapo kutakuwa na mtu ndani ya cdm ameshamuona threat, hivyo anatumia mwanya wa issues hizo na serikali kumpotezea ramani. Mfano, kwa mwelekeo wake na uzanzibari wake huenda mbeleni angependekezwa mgombea mwenza wa urais. Hapo lazima watu waongeze mizengwe juu ya mizengwe ya kesi ili dogo aiogope siasa. Binafsi nimshauri akumbuke kuwa ukiwa mwanasiasa kila mwanasiasa ni adui yako haijalishi ni wa chama chako. Hivyo lazima kukomaa.
CHADEMA walimtekekeza kule Songea akakaa ndani karibia wiki mbili.Huyu kijana ni kati ya vijana wachache waliokuwa wanakuja kasi sana kwenye siasa za nchi yetu hasa upande wa upinzani.
Ilifikia wakati akatabiriwa kuwa anaweza kuvaa viatu vya Ukatibu Mkuu Chadema, kulingana na siasa misimamo na uadilifu wake na alionekana kuwa ni lulu ya Taifa kwa baadae.
Lakini mpaka sasa sijui bado ni Naibu katibu Mkuu Chadema ama alisha staafu, ama ujio wa Lowasa umemchanganya kijana hajui afuate njia ipi aache njia ipi.
Salumu Mwalimu tuambie uko wapi,?
mpaka sasa ndani ya Chadema sijaona kijana wa kuvaa viatu vyako...
![]()
![]()
Hivi Mnyika yupo au naye anapumzika? Katibu Mkuu Dr. Mashinji yupo kweli?Huyu kijana ni kati ya vijana wachache waliokuwa wanakuja kasi sana kwenye siasa za nchi yetu hasa upande wa upinzani.
Ilifikia wakati akatabiriwa kuwa anaweza kuvaa viatu vya Ukatibu Mkuu Chadema, kulingana na siasa misimamo na uadilifu wake na alionekana kuwa ni lulu ya Taifa kwa baadae.
Lakini mpaka sasa sijui bado ni Naibu katibu Mkuu Chadema ama alisha staafu, ama ujio wa Lowasa umemchanganya kijana hajui afuate njia ipi aache njia ipi.
Salumu Mwalimu tuambie uko wapi,?
mpaka sasa ndani ya Chadema sijaona kijana wa kuvaa viatu vyako...
![]()
![]()