Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa mishahara mikubwa kwa Internship students

Ashraf2020

Member
Joined
Apr 1, 2025
Posts
6
Reaction score
4
Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa mishahara mikubwa kwa Internship students. Nitashukuru kwa majibu yenu Mazuri.​
 
🤣🤣🤣🤣
Ndugu ngoja kwanza u face reality ndo utanielewa kicheko changu

Siku hizi hadi CPA wanajitolea bure ndugu
Wewe na hilo kasha lako unaulizia mshahara?ha ha ha 🤣🤣

Graduate,fresh from school,kama huna connection ya nguvu hutoboi
 
Tafuta ujuzi kwanza,

Ikiwa na ujuzi kwa kiwango kizuri kitakupa kutaka hiyo mishahara mikubwa,
 
🤣🤣🤣🤣
Ndugu ngoja kwanza u face reality ndo utanielewa kicheko changu

Siku hizi hadi CPA wanajitolea bure ndugu
Wewe na hilo kasha lako unaulizia mshahara?ha ha ha 🤣🤣

Graduate,fresh from school,kama huna connection ya nguvu hutoboi
Mh CPA anajitolea? Hapo connection n kweli
 
Unataka mshahara mkubwa ,wewe binafsi utaongeza tija gani kwenye hiyo kampuni?
Nikipata chance, na imani nitaongeza tija muhimu kwenye kampuni kwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kampuni wanavotaka.
 
🤣🤣🤣🤣
Ndugu ngoja kwanza u face reality ndo utanielewa kicheko changu

Siku hizi hadi CPA wanajitolea bure ndugu
Wewe na hilo kasha lako unaulizia mshahara?ha ha ha 🤣🤣

Graduate,fresh from school,kama huna connection ya nguvu hutoboi
😀Natamani tu kujua. Nikijua gross salary ndo nitawaza kutafuta connection tajiri
 
Nikipata chance, na imani nitaongeza tija muhimu kwenye kampuni kwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kampuni wanavotaka.
Ufanisi sio? Kuna kampuni ya ku-massage wanaume, nikukonekti? Joking
 
Habari za Jioni, Ndugu zangu. Naomba majibu mazuri ndugu zangu. Nimemaliza Bachelor of Business Administration in Accounting. Naomba kujua Private Sector (NGO'S) or Public Sector zinazolipa mishahara mikubwa kwa Internship students. Nitashukuru kwa majibu yenu Mazuri.​
Ukizipata ziorodheshe hapa kwa maslahi ya wote mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom