Naomba kujua, ni viwanda vingapi vimejengwa mkoani Singida kati ya mamia ya viwanda vya Awamu ya Tano?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,173
9,398
Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015!

Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii.
Kongole kwa CCM!

Binafsi napenda kujua kwa upande wa Mkoa wa Singida hivi Viwanda vimejengwa Vingapi na wapi!?

Ni vema pia tukajua ni Viwanda vya aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…