Naomba kujua mshahara wa Rubani.

Gharama ya kumsomesha mtoto awe rubani unaijua? ATCL rubani anapata 6m kama mshahara na kila akiruka analipwa kiasi fulani. Kwa mashirika ya nje rubani anapata kuanzia $10,000 na kila akiruka kuna posho mpaka $500. Bado analipiwa kila kitu huko aendako hio posho ni ya mfukoni tu.
Wengi wanaendesha ndege kwa kupenda na si Kwa sababu ya mshahara mkubwa
 
Inategemea na kampuni ila huwa wengine wanatoa hadi milioni.
Wewe ni muongo na inaonekana hujui thamani na viwango vya pesa.
Inawezekana kwako wewe umeona laki nane ni mahela mengi sana.
Rubani hawezi kulipwa hivyo na Kama ingekuwa rubani wanalipwa hivyo watu wasingeenda kulipia ada mamilioni kuisoma.
Mimi sijafanya research ya hili Jambo lkn kwa haraka haraka tu rubani wa kawaida tu Tena ni msaidizi(associate) wa ndege Kama za precision hawezi kukosa mshahara wa milioni 7 au 8.
Kwa sababu hii ndio maana watu wanakubali kulipia ada ya milioni 20 kwa mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wa six figures kwa mwaka au kwa mwezi na Kama ni kwa mwaka mbona ni ndogo Kama mishahara ya wahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza huna akili pili unapanik kwa mambo ya kipuuzi.
 
Kwanza huna akili pili unapanik kwa mambo ya kipuuzi.
Mimi sijapaniki kwa sababu Mimi sio rubani ila nimekushangaa sana unavyodhalilisha fani za watu.
Sasa wewe una akili gani ya maana usiyejua hata viwango vya pesa pimbi wewe.
Hiyo laki 8 hata muhudumu wa ndege anavuka mshahara huo,au unakaa mbwinde inawezekana hata airport hujawah kufika unaropoka ropoka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo laki 8 unalipwa wewe au wao! Mbona povu linakutoka.

Mshahara wa rubani ni kuanzia laki 8.
 
Ajali ni popote mkuu hata Bajaj na bodaboda kila siku zinaminywa.
Hakuna kazi isiyokuwa na ajali,hata kwenye siasa pia Kuna ajali ya kupigwa risasi na wasiojulikana.
Kwa hyo ni ishu ya kumuomba mungu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…