Duh!!!, Laki nane tu?!!!.Mshahara inategemea na kampuni ila huanzia laki nane na kuendelea.
ilawezekana huo ndio ukawa mshahara wake ila i believe watakua na incentives nyingi sana
Nini kinachomfanya mtu apende kuwa mwanajeshi ilihali anatambua wakati wowote vita ikitokea ye ndio mtu wa kwanza kuwajibika!?
Chukulia mfano hapa kwetu tangu 1970's hakujawa na vita. Na hata vita ikitokea, bado mwanajeshi ana asilimia kubwa ya kuweza ku survive kuliko ajali ya ndege inapotokea
Nini kinachomfanya mtu apende kuwa Mlinzi/Bodyguard ilhali anatambua yeye ndio anaweza akawa shabaha eidha ya kwanza ama ya pili!?
Urahisi wa kazi yenyewe mkuu. Huhitaji kusomea miaka na miaka ili uwe bodyguard. Tofauti na urubani
Nini kinachomvutia mtu kuwa mvuvi ilhali anatambua kuwa maji hayana sakafu!?
Huyu nafikiri hana option nyingine ndio maisha aliyoyachagua/aliyorithishwa. Rubani anakua na option nyingi tuu za nini cha kusomea. Sasa najiuliza kwanini watu wanachagua urubani?
unataka mwanao awe rubani kwan yeye nwenyewe anataka ? usimlazimishe au kumchagulia mtoto kitu cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatania maisha wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Laki nane si hela ya Afisi mifugooo...!!Mshahara inategemea na kampuni ila huanzia laki nane na kuendelea.
Inategemea na kampuni ila huwa wengine wanatoa hadi milioni.Unatania maisha wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Laki nane si hela ya Afisi mifugooo...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema pia aina ya Ndege anayorusha inategemea sana... anaerusha Boeng huwezi fananisha mshahara na anaerusha Panga boy zetu...Inategemea na kampuni ila huwa wengine wanatoa hadi milioni.
Mkuu ukifanya research katika ndege ambazo zinafanya safari na mabasi na vyombo vingine unaweza kukuta Ndege inaongoza kwa kuwa na ajali chache.