MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,301
Wadau nawasabahi. Naomba ufafanuzi juu ya mishahara ya haya Makundi Mawili katika Kipindi cha miaka 5 tu ili nifanye maamuzi magumu.
Kuhusu Mshahara wa Mbunge niorodheshewe stahiki zote anazopata zikiwemo poshi, mshahara n.k. Vile vile na Mwalimu mwenye degree ili niweze kuamua niende kuajiriwa ualimu au nikagombee Ubunge.
Naomba ufafanuzi wenu.