Naomba kujua mshahara wa miaka 5 wa Mbunge na Mwalimu mwenye degree

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi. Naomba ufafanuzi juu ya mishahara ya haya Makundi Mawili katika Kipindi cha miaka 5 tu ili nifanye maamuzi magumu.

Kuhusu Mshahara wa Mbunge niorodheshewe stahiki zote anazopata zikiwemo poshi, mshahara n.k. Vile vile na Mwalimu mwenye degree ili niweze kuamua niende kuajiriwa ualimu au nikagombee Ubunge.

Naomba ufafanuzi wenu.
 
Mbunge: Huyu sifa yake ni ajue kusoma na kuandika, hata kama ameishia darasa la sita. Huyu maokoto yake kwa mwezi ni kati ya 11,000,000 - 13,000,000

Mwalimu:
Mwenye Degree anaweza akavuta maokoto kwa ya kila mwezi kwa wastani wa 700,000 - 900,000
Wameongezewa
Sitting allowance 120,000
Per diem 250,000
Salary 16,500,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nawasabahi.Naomba ufafanuzi juu ya MISHAHARA ya haya Makundi Mawili ktk Kipindi cha MIAKA 5 TU ili nifanye MAAMUZI MAGUMU.
Kuhusu Mshahara wa MBUNGE niorodheshewe STAHIKI zote anazopata zikiwemo POSHO MSHAHARA n.k.Vile vile na MWALIMU mwenye DEGREE ili niweze kuamua NIENDE kuajiriwa UALIMU au NIKAGOMBEE UBUNGE.
Naomba UFAFANUZI wenu.
Kwanza ni utaahira kywatumia walimu kama benchmark ya Watumishi wenye salary ndogo wakati Wana scale kubwa kushinda Watumishi wote wa level zao wanaofanya kazi Halmashauri au wizarani.

Hili swala linabikera sana,Walimu sio kundi lenye salary ndogo.Ujinga wa sijui hawana posho ni upuuzi mwingine Kwa sababu hakuna Watumishi wanaopata posho bila kufanya kazi mda wa ziada labda askari au majeshi.
 
Mkuu naomba uwe serious kwenye issue muhimu kama hii ya Walimu kulipwa ujira mdogo. Kada zote kuna Extra Duty Allowance, Honoraria na Posho za Safari za ndani na nje ya nchi. Mwalimu hana hata Teaching Allowance ambayo ilifutwa Kipindi cha Awamu ya Pili (wakati wa Utawala wa Mzee Mwinyi), akishalipwa mshahara basi hana tena tegemeo jingine la kuingiza kipato. Hata posho ya kusahihisha mitihani siku hizi ni kama imefutwa, Walimu wanaambiwa ni kama kazi nyingine ya kufundisha. Ndio maana Walimu wanaamua kubuni vitu kama Tuition kwa ajili ya kujiongezea kipato. Tusijifanye tunawapenda sana Walimu wakati hatuwajali.
 
Kwanza ni utaahira kywatumia walimu kama benchmark ya Watumishi wenye salary ndogo wakati Wana scale kubwa kushinda Watumishi wote wa level zao wanaofanya kazi Halmashauri au wizarani.

Hili swala linabikera sana,Walimu sio kundi lenye salary ndogo.Ujinga wa sijui hawana posho ni upuuzi mwingine Kwa sababu hakuna Watumishi wanaopata posho bila kufanya kazi mda wa ziada labda askari au majeshi.
Na maelezo yote Hayo, hawatakuelewa!
 
Sasa mbona umeweka neno labda???

Ukishaweka labda maana yake kuna kundi linanufaika na walimu hawanung'uniki

Pitia sifa za kitaaluma za kujiunga na ualimu ufananishe na hizo zingine unazozisema

Ukweli mwalimu ndie mtumishi wa umma mwenye jukumu kubwa zaidi kwenye jamii kuliko mtumishi mwingine yoyote

Malezi ni siku kwa siku kwa kila mtanzania unaemtegemea kesho aje kulitumikia taifa

Walimu waonbezewe maslai yao na kikokotoo kiondolewe
 
Nani hana jukumu kubwa? Sifa zipi za Mwalimu zaidi ya division 3-1?

Kwanza walimu ndio Watumishi wanaofanya kazi Kwa siku chache kabisa Kwa mwaka na Kwa mda mfupi zaidi.

Narudia ni upuuzi na utaahira kuwachukulia walimu kwamba ni baseline wakati kwanza Wana malipo makubwa kuliko kada zingine kwenye level zao.

Blaa blaa za posho etc ni kichaka tuu Cha kujifichia ,hakuna posho compulsory Kwa mtumishi yeyote na anapopata ni lazima kulingana na nature ya kazi.

Komeni kabisa kunyanyasa Watumishi wengine Kwa visingizio vya posho.
 
Kwani wewe na kada yako mmezuiwa kufanya harakati za kuomba marupurupu kwa mwajiri??

Kwann kada nyingine zinapofanya hivyo wewe na kada yako mnaanza kuwatweza na kuwa wasemaji wa mwajiri??

Wewe kwenye utumishi wako huwa unapimwa kwa vigezo vya kitaifa na kimataifa kila mwaka??

Wewe kwenye fani yako mpo wangapi mnaotoa huduma ukilinganisha na kada kubwa zaidi yenye waajiriwa zaidi ya 280,000 nchi nzima kila kijiji watu wapo wanalitumikia taifa??

Wewe na kada yako ni namna gani mnawatengeneza raia bora ukiwemo wewe ambae hujawahi kuwa bora kwa kutojua thamani ya wanaokulelea mwanao hata saa hii upo kwenye keyboard yako unawakandia??

Kwani walimu wakiongezewa marupurupu na mwajiri wao wewe unapungua nini?
 
Swala ni Wanasiasa kutumia mwanya wa uwalimu at the expenses of others.

Huu ni upotoshaji mkubwa,walimu ndio cadre hupata penseni kubwa zaidi kuliko Watumishi wengine,acheni uhuni
 
Kwanza ni utaahira kywatumia walimu kama benchmark ya Watumishi wenye salary ndogo wakati Wana scale kubwa kushinda Watumishi wote wa level zao wanaofanya kazi Halmashauri au wizarani.

Hili swala linabikera sana,Walimu sio kundi lenye salary ndogo.Ujinga wa sijui hawana posho ni upuuzi mwingine Kwa sababu hakuna Watumishi wanaopata posho bila kufanya kazi mda wa ziada labda askari au majeshi.
Kumbuka nimejitolea mfano wa Walimu kwa kuwa mimi ni MWALIMU na Mshahara wangu ni huo
 
Mwalimu wa primary mwenye masters anavuta milion na laki 8 na chenji.
Msiwadharau walimu,wa degree anaenza anavuta laki 8 na sitini na chenji.
Akienda bank anakamata milion 25,wa Mast ers anakamata milion 80 bank
Msiwadharau walimu.
Ishu ya maendeleo ni akili yako na asili ya ukoo wenu ipoje kuhusu utajiri
 
Mzee #Kinana anasema “wabunge wetu wanalipwa pesa kidogo sana”

MISHAHARA YA WABUNGE NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA HALI YA JUU KABISA TANZANIA.

Suala la Mishahara ya Wabunge analoliongea @HecheJohn linaumiza roho sana.

Mwalimu wa Tanzania mwenye TGTS D1 mwenye mshahara take home 531,000 kwa mwezi, akifanya kazi kwa miaka 38 atalipwa shilingi 242,136,000 (milioni 242).

MBUNGE wa Tanzania kwa mwaka mmoja analipwa shilingi 240,300,000 (milioni 240 bila posho za kamati).

Yani mwalimu wa Tanzania mwenye degree analazimika kufanya kazi kwa miaka 38 ili aweze kupata malipo anayopewa mbunge wake (ANAYETAKIWA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU) kwa mwaka mmoja tu. Ndio uzalendo huu?????? @SuluhuSamia

YANI IPO HIVI,
Mbunge anayelala tu bungeni @bunge_tz analipwa;

Posho za vikao kwa mwaka ni sh. 42,300,000 (milioni 42.3)
Mshahara na marupurupu kila mwezi 16,500,000 × miezi 12 = 198,000,000 (milioni 198).
Jumla kwa mwaka mmoja ni sh. 240,300,000 (milioni 240, hii haihusishi posho za kamati za kudumu).

Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.

TUCHANGANUE MALIPO YA MBUNGE VIZURI.

Sitting Allowance - 220,000
Per Diem - 250,000
Jumla kila siku mbunge analipwa 470,000/= (haijalishi ameongea au lah).
Mshahara na marupurupu kwa mwezi - 16,500,000/=

Mshahara wa mbunge kwa mwaka mmoja ni shilingi 198,000,000 (milioni 198).
Mshahara wa mbunge kwa miaka mitano ni shilingi 990,000,000 (milioni 990).
Bado kila baada ya miaka mitano huyu mbunge analipwa kiinua mgongo milioni Mia mbili (200,000,000).

Vikao vya Bunge

Kikao cha Januari 31 - Feb 10 = siku 11
Kikao cha bajeti April 4 - June 30 = siku za vikao 59
Mkutano wa tisa wa bunge mwaka 2022 Nov 1-11 = siku 10
Mkutano wa nane kuanzia Sept 13-23 = siku 10
Jumla ya siku za vikao vya bunge ni siku 90.

Siku 90 za vikao × 470,000 = 42,300,000
42,300,000 za vikao × miaka 5 = 211,500,000

JUMLA KWA MIAKA MITANO
1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200) bila kuhusisha posho za kamati.

TUANGALIE MSHAHARA WA MWALIMU KWA MIAKA MITANO

Mwl. mwenye TGTS D1 mshahara wake basic ni shilingi 771,000 kwa mwezi, ukitoa makato, take home ya mwalimu huyu no shilingi 531,000.

Mshahara wa huyu mwalimu kwa mwaka 531,000 × miezi 12 = 6,372,000 mara miaka mitano = 31,860,000 (huu ni mshahara wa Mia I miwili wa mbunge).

Kwa miaka 38 mwalimu analipwa 6,372,000 * 38 = 242,136,000 (sawa na mshahara wa mwaka mmoja wa mbunge).

Huyu mwalimu akidai nyongeza ya mshahara anaambiwa "KUWA MZALENDO." Kama sio wizi huu ni nini????

Wakati mbunge wa Tanzania anaogelea kwenye bwawa la utajiri wa kodi za walala hoi, mtoto wa mtanzania maskini anashindwa kujengewa hata choo cha tundu kwenye shule yake; hata dawati la shilingi elfu 50 tu limeshindikana; hata kitabu cha elfu kumi tu imeshindikana.

IFIKE MAHALI TUACHE HUU UFALA WA KUENDELEA KUFUMBIA MACHO UDHALIMU WAKATI TUNAOUMIA NI SISI NA WATOTO WETU. MABADILIKO YA KWELI YATAKUJA PALE WATU WA CHINI TUTAKAPOSIMAMA KUPINGA UDHALIMU.
 
Back
Top Bottom